Naunga mkono hoja nafikiri wale watumike kwenye mechi zinazo wahitaji tu lakn sio wa kuanza first 11 kila wiki viungo gan hawapo creative utazan n CBYani kimsingi Fred na McTominay siyo wachezaji wa hadhi ya Manchester United. Kupata kwao namba itategemea, kama timu itamsajili de Jong na DM wasahau suala la kucheza mechi za Premier League kabisa.
Baada ya misimu mitatu tutakuwa tumeshatoa takataka zote.
De gea kosa lake nn? Au ndiyo zile propaganda za kusema hapigi pasi? Hayo mambo ya kupiga pasi waachie midfielders kipa kazi yake kudaka na de gea hana shaka kwenye hilo.Hiki kizazi cha kina pogba na wenzie kiondolewe ni project iliyo feli sehem kubwa de gea wakumuondoa pia pamoja na martial mishahara mikubwa kiwango kidogo...najua watu watapinga kuhusu degea lakn ukwel n wa kumuondoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli itakuwa hivi hapa nampongeza. Tuna mikataba ya ajabu sana, wachezaji wengi wapo overpaid.david de gea anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5 wenye punguzo la mshahara, kwa sasa analipwa paundi 375000, mkataba mpya utamfanya alipwe paundi 250000. vipi tuanze kumsifu john murtough au muda wake bado?... CHIEF MKWAWA
sababu ya msingi ni ipi kumuondoa De gea?Hiki kizazi cha kina pogba na wenzie kiondolewe ni project iliyo feli sehem kubwa de gea wakumuondoa pia pamoja na martial mishahara mikubwa kiwango kidogo...najua watu watapinga kuhusu degea lakn ukwel n wa kumuondoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief umewahi angalia game hata 1 ya N. Forest dk zote 90 ambayo Garner kaanza?Mctominay mwengine
Fabrizio anasema Dalot is appreciated ndani ya bodi na chances za kuondoka ni chache sana labda itokee huge bid, Bissaka wanasubiri tu offer asepe so deal la Timber naona litakuwa done siku si nyingiMatic [emoji736]
Pogba [emoji736]
Lingard [emoji736]
Martial [emoji353]
Bailly [emoji353]
Jones [emoji353]
Mata [emoji353]
AWB [emoji353]
Telles [emoji353]
Dalot [emoji353]
Perreira [emoji353]
[emoji1374][emoji1374][emoji1374]
Hili panga liendelee tu maana tulijaza takataka kibao.
Ikifika kwa jones kila mtu atapiga shangweMatic [emoji736]
Pogba [emoji736]
Lingard [emoji736]
Martial [emoji353]
Bailly [emoji353]
Jones [emoji353]
Mata [emoji818]
AWB [emoji353]
Telles [emoji353]
Dalot [emoji353]
Perreira [emoji353]
[emoji1374][emoji1374][emoji1374]
Mata nae atunae fagio linaendelea.View attachment 2248013
De gea kwa Ten Hag habaki, De gea ni GK siku hizi makipa wa kisasa ni sweeper hivyo ata struggle.Hiki kizazi cha kina pogba na wenzie kiondolewe ni project iliyo feli sehem kubwa de gea wakumuondoa pia pamoja na martial mishahara mikubwa kiwango kidogo...najua watu watapinga kuhusu degea lakn ukwel n wa kumuondoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki iliopita wawakilishi wa jurrien timber wameonekana jijini london zinapopatikana ofisi za manchester united.
Dogo wa bench keeper no2. mbona naona kama anafundishikaDe gea kwa Ten Hag habaki, De gea ni GK siku hizi makipa wa kisasa ni sweeper hivyo ata struggle.
Ila ukiangalia kikosi chetu tuna maeneo muhimu ya kusajili kwanza, hivyo anaweza kucover hio nafasi kwanza halafu kwa baadae itafutwe replacement.
Unapocheza na mabeki Highline, aka kukabia juu kunakuwa na gape kubwa baina ya Beki wa mwisho na kipa, hivyo kama kipa Hatoki unakuta kunakuwa na 1vs1 nyingi sana.De gea kosa lake nn? Au ndiyo zile propaganda za kusema hapigi pasi? Hayo mambo ya kupiga pasi waachie midfielders kipa kazi yake kudaka na de gea hana shaka kwenye hilo.
Msitake tuondoe watu kwa vigezo visivyo na macho wala miguu alafu baadae tusumbuke miaka 10 kutafuta replacement.
Henderson sio? Huyu ni sweeper na anafaa huu mfumo, ila ana quality ya kutufikisha tunapotaka? Hili sijui.Dogo wa bench mbona naona kama anafundishika