Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,304
- 46,777
Hii ni EPL sio Dutch Eredivisie..Fred kwenye kikosi cha kwanza cha EtH hata namba anaweza asipate, mchezo wa possession hauhitaji mapepe miguuni. de Jong siyo mchezaji wa kumfananisha na Fred. EtH hachezi na lone CDM so obviously kutakuwa na ujio wa DM pia. Yani kiuhalisia hata Bruno asipoangalia namba 10 anaweza kucheza VdB.
Pale katikati tunahitaji composure na ufundi lakini pia na fujo nyingi..kucheza na VdB na De jong ni kujitakia maumivu mapema tu..
Sioni nafasi ya VdB kushine kwenye hii EPL..kaenda Everton tu hata namba alikuwa akipata kwa mbinde.


