Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 462
- 954
Your spend more time on United thread than on your team thread
Dah sometimes nikikaa nikafikiri naona kama Manchester united kama kubeba ndoo imebaki kama ndoto yani nikifiria sioni tukibeba kombe lolote yani.
Naona tunaenda kuwa As roma yani miaka14 kombe ndo wamebeba jana.
.Dah sometimes nikikaa nikafikiri naona kama Manchester united kama kubeba ndoo imebaki kama ndoto yani nikifiria sioni tukibeba kombe lolote yani.
Naona tunaenda kuwa As roma yani miaka14 kombe ndo wamebeba jana.
unless Bruno Aflopp kabisa sioni umuhimu wa huyu jamaa kwenye kikosi chetu.
Maeneo gani ni yakuboresha kwenye 1st XI?unless Bruno Aflopp kabisa sioni umuhimu wa huyu jamaa kwenye kikosi chetu.
eneo muhimu kabisa mkuu ni Midfield hasa Mkabaji ama deep lying playmaker, sababu box to box wetu (Fred na McTominay) si wazuri kupeleka mpira mbele haraka, hivyo inabidi kina bruno kushuka mara kwa mara, Frank de Jong ndio tunahusishwa nae kwa sasa, Japo Tetesi mwenyewe Hataki.Maeneo gani ni yakuboresha kwenye 1st XI?
eneo muhimu kabisa mkuu ni Midfield hasa Mkabaji ama deep lying playmaker, sababu box to box wetu (Fred na McTominay) si wazuri kupeleka mpira mbele haraka, hivyo inabidi kina bruno kushuka mara kwa mara, Frank de Jong ndio tunahusishwa nae kwa sasa, Japo Tetesi mwenyewe Hataki.
Fullback ni eneo jengine muhimu kote Kulia na Kushoto, Dalot ni Pazia aisee na sioni AWB akiwa first Choice wa ETH, Full fit Shaw yupo vizuri ila jamaa injury nje nje, unless tunacheza back 3 Telles kwangu bado sana.
then tunahitaji depth ya Striker na Winga, niliesikia Tetesi ni Nunez wa Benfica.
pia kama Bailly na Jones wanaondoka Tunahitaji CB mwengine, Tetesi Pau Torres, huyu Jamaa ni like to like Replacement ya Maguire japo na yeye Hajakuwa proven kwenye High line system.
pengine hao 6 watakuja Mkuu,



Kama kawaida yenu Ligi ikiisha tu mnakutana ma kuanza kupanga plani upya za msimu ujao 




Mna roho nyie .Una akili sana Mkuu njia pekee ya Man united kubeba kombe ni KUIBA KOMBE tu hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo ni KUIBA KOMBE tu.Dah sometimes nikikaa nikafikiri naona kama Manchester united kama kubeba ndoo imebaki kama ndoto yani nikifiria sioni tukibeba kombe lolote yani.
Naona tunaenda kuwa As roma yani miaka14 kombe ndo wamebeba jana.