Nimeandika kadri ninavyoweza.Timu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ile manchester leo ipo uwanjani na dunia nzima inafuraha.
Ila baada ya mechi kuisha hua ndio muda wetu wa kuondoa stress kwa kukosoa, kukebehi, hata kutukana inapobidi na ndio maana timu yetu ndio timu inayojulikana kua ni timu ya furaha dunia nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukifunga ni furaha, tukifungwa pia furaha inatawala, Maguire akitoa boko tukachezea pia tunachukulia kama kibwagizo cha furaha yetu.
Ila nyie mbuzi mkifungwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.
Mpira ni burudani ndugu zangu, nyie kila kitu mnachukulia serious ndio maana hua mnajinyonga mbuzi nyie.
Kuweni japo kama OllaChuga Oc ili muendelee kufaidi mema ya nchi.
Nani aliekwambia sisi tuna mahaba mengi mpaka tunashindwa kutumia akili?
Mashabiki wote wa United tunajijua kua msimu huu sisi ni wazee wa 4G, ni nyinyi tu na uzembe wenu siku ile ndio mlishindwa kujipigia goli 4.
Tofauti ya mashabiki wa United na AsaniAli ni moja?
Sisi timu letu likiboronga hakuna shabiki atakae tetea, tutaikosoa, tutaidhihaki na hata ikibidi kuwatukuna wachezaji na kocha tutawatukana na tunapata relief.
Nyinyi timu lenu hata likizingua vipi ndio kwanza mnazidi kulisifia na mnaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe endapo ikitokea mmoja wenu akiamua kukosoa upumbavu unaoendelea kwenye timu, ndio maana mashabiki wa AsaniAli wanaongoza kwa stress, hata takwimu zinaonyesha mashabiki wa AsaniAli ndio wanaongoza kwa kujiua.

YouTube › watchTimu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ile
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Ila baada ya mechi kuisha hua ndio muda wetu wa kuondoa stress kwa kukosoa, kukebehi, hata kutukana inapobidi na ndio maana timu yetu ndio timu inayojulikana kua ni timu ya furaha dunia nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukifunga ni furaha, tukifungwa pia furaha inatawala, Maguire akitoa boko tukachezea pia tunachukulia kama kibwagizo cha furaha yetu.
Ila nyie mbuzi mkifungwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.
Mpira ni burudani ndugu zangu, nyie kila kitu mnachukulia serious ndio maana hua mnajinyonga mbuzi nyie.
Kuweni japo kama OllaChuga Oc ili muendelee kufaidi mema ya nchi.
Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii😂😂😂😂Timu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ile
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Ila baada ya mechi kuisha hua ndio muda wetu wa kuondoa stress kwa kukosoa, kukebehi, hata kutukana inapobidi na ndio maana timu yetu ndio timu inayojulikana kua ni timu ya furaha dunia nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukifunga ni furaha, tukifungwa pia furaha inatawala, Maguire akitoa boko tukachezea pia tunachukulia kama kibwagizo cha furaha yetu.
Ila nyie mbuzi mkifungwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.
Mpira ni burudani ndugu zangu, nyie kila kitu mnachukulia serious ndio maana hua mnajinyonga mbuzi nyie.
Kuweni japo kama OllaChuga Oc ili muendelee kufaidi mema ya nchi.
Mkuu mpira ni burudani mpaka kufungwa kuna burudani yake hivi mashabiki kama wa Bayern munich ambayo msimu wa 10 huu wanabeba ligi wakiambiwa ligi yao ni urojo unadhani wanakuwa wanajisikiaje.Kimtazamo wa form Westham hawezi kumfunga City ila anaweza kumpiga Brighton na kwa mtazamo huo huo ni ngumu kuamua kati ya United na Palace nani atashinda.
Wote wako kwenye run ya hovyo.
Na Palace ni kama wengine wa mid table low block, counter na purposive movements. United anahitaji zaidi ushindi au suluhu kwakua atajihakikishia kwenda Europa.
Nafikiri United inatakiwa kuhit rock bottom zaidi ya hapa, ili mashabiki waanze kutumia zaidi akili katika kujenga hoja. Liva fans learnt it the hard way am sure same approach will work for united.
Kuna member anatumia id ya Mc cane mtafuteni mjue kama yupo hai. Sina shaka na ARV majukumu yatakua yamembana, kuna kipindi nahisi hawa ARV na Mc cane ni Flano na allypipi in disguise. Mahaba mengi mpaka kutumia akili inakua mtihani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] AsaniAli eti wako serious wanataka kukuchomoa hapo nafasi ya 3.Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Hakosagi takwimu, cjui huwa anazitoa wapi, ila jamaa ni professional IT huenda anazitengeneza mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bado hawajawa na timu ya kupambana na chelsea. Level yao chelsea ya wanawake ni kubwa sana mbele ya manchester united. Wala sijashangazwa na matokeo.Wanawake nao wamekula 4 [emoji23]
Darwin Nunez ni cheap option ya Haaland. Bei zao wote ni Euro 75M ila mshahara wa Darwin ni nusu wa Haaland maana yake anatoa room ya ku-accommodate mchezaji mwingine kikosini. (Haaland si chini ya 350k/weekly vs Darwin Nunez 175k/weekly)Kuna uwezekano Haaland akaja United. Hata binafsi nakubaliana na hilo.
Ni natural goal getter. Akikupa goli 30 kwa msimu na Ronaldo akikupa nae 25.
Mnakuwa kwenye nafasi nzuri.
mgogoro wa mourinho dhidi ya paul pogba ndio ulimfaidisha scott mctominay, jose alimpandisha kutoka academy. uwezo wa mctominay ni wa kuchezea vilabu kama burnley na si kuwa regular starter wa manchester united. Tumerudi nyuma sana.Sifa ya kwanza ya kiungo ni kuwa na akili..I'm sorry to say McSouce akili hiyo hana.
Hahahaa nyie jamaa mnaangalia mpaka soka la wanawake?bado hawajawa na timu ya kupambana na chelsea. Level yao chelsea ya wanawake ni kubwa sana mbele ya manchester united. Wala sijashangazwa na matokeo.
sijawahi kuangalia ila taarifa zao nazipata subreddit ya reddevils.Hahahaa nyie jamaa mnaangalia mpaka soka la wanawake?
bora hata wewe unakimbilia jukwaa la mapishi ukifungwaWatu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii😂😂😂😂
Ndio naona hapa muda sio mrefu kutoka kwa Fabrizio kumbe majirani zetu tayari wamemalizana na 'Lukaku' mpya?sijawahi kuangalia ila taarifa zao nazipata subreddit ya reddevils.
ile taarifa nilifanikiwa kuisoma asubuhi kutoka kwa mtaalamu david ornstein, nafikiri yeye ndiye muandishi wa mwanzoni kuripoti taarifa hiyo. Kwa nini awe erling haaland na si harry kane?. Any tips.Ndio naona hapa muda sio mrefu kutoka kwa Fabrizio kumbe majirani zetu tayari wamemalizana na 'Lukaku' mpya?
Mpira ni mchezo wa hisia unapotoka kufungwa kwa dakika kadhaa nyongo inakuwa imechafuka mtu akileta utani ni kama anaweka chumvi ktk kidonda sasa hapo tuna tofautiana jinsi ya ku-handle hizo reactions. Kadri unavyozidi kuwa mtu mzima hisia za maumivu hupungua (above 25 yrs old).Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii😂😂😂😂