hehehe. Manchura united. Chura ananesanesa chura. Michezo yao ni mavumbini tu na vijora. Uwanjani hamna kituAs an arsenal fan I want to say that am happy with the wonderful performance by Man U today, if you continue playing this way, I might end up supporting you
Nilimuona mpuuz Sana. Anajichanganya Sana. Kuniweka Ronaldo na Mzee mwenzie pale mbele na kamuamini Sana pweyShida kocha hana kikosi.
Kampa sub Elanga alivyoona anascore akampa namba mazima. Juzi Mata kacheza vizuri leo kampanga.
Timu imecheza mechi 37 imeshinda 16.