Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Unyumbuni fans




Unyumbuni fans




McTominay ni bonge la Midfielder. Ningempokea pale Emirates kwa mikono miwilingoja nisubirie hiyo miujiza ya erik ten hag kwa wachezaji hawa: telles, mctominay, dalot, elanga, rashford, maguire.
Founder and father of GegenpressingBora hii kazi ya ukocha angepewa Carrick, huyu mjerumani ni kenge 😆😆😆
Aisee jinsi jamaa alivyopigiwa promo , kumbe tapeli tu...hata ole gunnar ana afadhali kuna mechi zake kubwa alikuwa akiziotea anashindaFounder and father of Gegenpressing
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Ila media waongo aiseeee duh
Germany Bielsa huyo hamna kocha pale.Very astonishing, hivi Rangnick ana cv gani ku coach man United? Hapa napo mlipigwa sana. Ilikuwa zie 7-0 leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee jinsi jamaa alivyopigiwa promo , kumbe tapeli tu...hata ole gunnar ana afadhali kuna mechi zake kubwa alikuwa akiziotea anashinda
Ndugu nipigie Spurs huko kesho nimpumulie Chelsea kisogoni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Usimdhalilishe mwalimu wa KLOPPAisee jinsi jamaa alivyopigiwa promo , kumbe tapeli tu...hata ole gunnar ana afadhali kuna mechi zake kubwa alikuwa akiziotea anashinda