Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Board and scouts said there is no one in the market. Ralf named those 3.huyu ndiye kocha pekee wa manchester united niliyewahi kufuatilia interview zake zote.
Board and scouts said there is no one in the market. Ralf named those 3.huyu ndiye kocha pekee wa manchester united niliyewahi kufuatilia interview zake zote.
Board ni sum of decisions by a group of people.Amtaje board aliyesema no...kukusanya kundi la watu na Kuwa generalize is not a solution... mashabiki wanataka adui yao namba Moja directly ni nani
I think so.The way Ralf Rangnick anavyo-expose management ya Manchester United ,huenda wakamfukuza kabla mkataba wake haujaisha
Van Gaal alisema wakati ameshaondoka.Acha Awachane Tu Ukweli Japo Yeye Sio Wa Kwanza Kuwaambia Ukweli Hata Van Gaal Na Mourinho Walishawahi Kuwachana Ukweli Pia.
Napingana na wewe......Kwa malezi ole aliyowapa wachezaji, aliwaharibu. Unawezaje mchezaji anafanya makosa unampetipeti. Moriinho hakutaka ujinga, Ferguson hajawahi kuishi na mchezaji Kwa kumsifiasifia. Ni wapuuzi Sana. Kibongobongo ni sawa na kupetpeti mwanao .. Baadae unashangaa akiwa panyaroad,akiwa chokoraa anakuwa nunda. Pogba anisamehe lkn ni kama nunda pale united.
View attachment 2213795
Kama kweli hii msms ni yake anawafundisha nini wadog zake
Napingana na wewe......
Kuwa kocha inabidi uwafanye wachezaji wakubaliane na wewe, wakubali kukutumikia.
Kuna namna Nyingi za kuwin hearts za wachezaji.
Either wakuheshimu kama mkubwa wao na mkali kwao ( hapa utawaweza wasio na majina).
Uwe kama rafiki yao ( hii ndio alienda nayo Ole na ilimlipa).
Wachezaji sio ng'ombe utazicommand unavyotaka.....
Mfano mwepesi ni huo, hii picha sio bahati mbaya.
Lazima uwin hearts za wachezaji first, Kwa muono wangu Ralf kashindwa hili na ndio linalomtesa.
Sema labda kwa kuwa alijuwa sio jukumu lake kuu.
View attachment 2215279
Kwahiyo mkuu unadhani walianzia hapo?Unafanya haya baada ya kushinda ,picha imepigwa baada ya Real Madrid kushinda La Liga na walikuwa semi final ya UCL,how can you do that uko nafasi ya 6
Sasa hivi tushajua msimu wetu unaisheje hakuna shabiki anajali tena. Leo muhimu tupate tu angalau point 1, there's no way West Ham watavuka points 58 so Europa League secured.Brighton tuna jambo letu leo
Sioni tatizo wamuache Ten hag alete wachezaji wake anaowataka yeye hizo ni rumours tu ingekuwa upotevu wa pesa kama angeletwa Mchezaji Alafu kocha atayekuja asione anafit au siyo chaguo lake nadhani waandishi wa Habari wanaleta tension tu fungu kubwa apewe ten hag dirisha kubwa kuliko kuletewa wachezaji ambao yeye huenda asingewapendaMabosi wa hii timu ni washamba na nitakataka.View attachment 2215016
Pogba Apo Man City Anaenda Kuupiga Mwingi.Pogba to Man City..
He can fuc*kng leave..no one give a sh*t.
Mnaburuzwa huko
Ubingwa vp kakaSasa hivi tushajua msimu wetu unaisheje hakuna shabiki anajali tena. Leo muhimu tupate tu angalau point 1, there's no way West Ham watavuka points 58 so Europa League secured.