Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Cucurelaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Bunch of rubbishes, highly paid but showing despair
anacheza brighton, telles na dalot wanacheza manchester unitedCucurelaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Bunch of rubbishes, highly paid but showing despair
hao vibaka ukiwazingua wanakupiga mitama, hili ni kundi la mabaradhuli wanaokusanya million 100 kwa wikiHii ni team ya mpira au kikundi cha vibaka?
Sio tatu ni nne. Angalia vizuri 😂😂Brighton kashatupiga 3 kmmmmake hii tim imeharibika mno
Niliisha sema mapema sana.Leo Kunyolewa kupo palepale. Pressing ya Brighton huwa ni noma sana.