Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu cha kukumbushana tu hapa jukwaani wakati tunaendelea na rebuild,kwa sasa ili timu ifikirie ubingwa wa ligi ni lazima ipate si chini ya point 90+.
Hizi ni standard mpya walizotuwekea Pep na Klopp.
Jengeni team yenu kwanza, kitu ambacho kitawachukua miaka siyo chini ya mitatu...achaneni na mawazo ya ubingwa kabisa kwa sasa!
 
Kuna uwezekano Haaland akaja United. Hata binafsi nakubaliana na hilo.

Ni natural goal getter. Akikupa goli 30 kwa msimu na Ronaldo akikupa nae 25.

Mnakuwa kwenye nafasi nzuri.
His injury record mmh
 
Board.

Press conference za Ralf zina hatari sana.

20220507_010119.jpg
 
alexis sanchez, fred, maguire, ronaldo. Je anayefuata ni paul pogba au majirani zetu wana nia ya dhati ya kumsajili. Kuna muandishi anasema pogba amekuwa akitafuta nyumba nyengine ndani ya jiji la manchester na utafutaji huo wa nyumba unaipa nguvu tetesi ya kuhamia kwake manchester city kuliko kubaki manchester united. Muandishi mwengine ameripoti taarifa za man city kumuania erling haaland na watakapomaliziana nae watamgeukia paul pogba kwani lengo lengine la guardiola msimu huu ni kuongeza kiungo. Muandishi anayeitwa Daemushin yeye ameripoti taarifa hizo ni kama mbinu au mkakati wa upande wa pogba kuipa presha manchester united warudi tena mezani na ofa nzuri zaidi kwa paul pogba kuliko walioiweka mwaka mmoja nyuma. Mbinu hiyo imekuwa ikifanya kazi kwa wachezaji wengi walioitumia kama hao niliokutajia mwanzoni waliotumia mgongo wa manchester city kujichotea mabilioni ya mashetani wekundu. Wewe msomaji una maoni gani?
 
allypipi nakukumbusha tu, leo nimepita maeneo ya kunduchi ile mitaa wananchi wake waliopelekewa moto na panya road.
Nimekuta watu kibao wana mibandeji kichwani ila cha kushangaza kila unaepishana nae barabarani yupo na full tabasamu.
Ikabidi niwaulize wale raia wema waliojeruhiwa kulikoni mmepata mabalaa na mko na majeraha lakini kila nikipishana na nyie nawaona mko na furaha sana?
Mmoja wao ndio akanijibu huku akitabasamu:
"ina maana wewe haujui kua leo manchester united ipo uwanjani anacheza na Brighton"

Hapo ndio nikaamini kua kumbe ni kweli yale maneno ya allypipi

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
 
Hahaha Glory Glory Manchester United
 
Tusubirie tu pre-season,morali ya kuanza kufuatilia tena mechi zetu utarudi.
 
alexis sanchez, fred, maguire, ronaldo. Je anayefuata ni paul pogba au majirani zetu wana nia ya dhati ya kumsajili. Kuna muandishi anasema pogba amekuwa akitafuta nyumba nyengine ndani ya jiji la manchester na utafutaji huo wa nyumba unaipa nguvu tetesi ya kuhamia kwake manchester city kuliko kubaki manchester united. Muandishi mwengine ameripoti taarifa za man city kumuania erling haaland na watakapomaliziana nae watamgeukia paul pogba kwani lengo lengine la guardiola msimu huu ni kuongeza kiungo. Muandishi anayeitwa Daemushin yeye ameripoti taarifa hizo ni kama mbinu au mkakati wa upande wa pogba kuipa presha manchester united warudi tena mezani na ofa nzuri zaidi kwa paul pogba kuliko walioiweka mwaka mmoja nyuma. Mbinu hiyo imekuwa ikifanya kazi kwa wachezaji wengi walioitumia kama hao niliokutajia mwanzoni waliotumia mgongo wa manchester city kujichotea mabilioni ya mashetani wekundu. Wewe msomaji una maoni gani?
Mkuu,nadhani imefikia wakati sasa tuamini tunaweza kuishi bila Labile na maisha yakaendelea poa kabisa.
Amepewa zaid ya miaka 5 lakini haikuwa bahati yetu,acha tujaribu na wengine sasa
 
Back
Top Bottom