Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Napingana na wewe......
Kuwa kocha inabidi uwafanye wachezaji wakubaliane na wewe, wakubali kukutumikia.
Kuna namna Nyingi za kuwin hearts za wachezaji.
Either wakuheshimu kama mkubwa wao na mkali kwao ( hapa utawaweza wasio na majina).
Uwe kama rafiki yao ( hii ndio alienda nayo Ole na ilimlipa).
Wachezaji sio ng'ombe utazicommand unavyotaka.....

Mfano mwepesi ni huo, hii picha sio bahati mbaya.
Lazima uwin hearts za wachezaji first, Kwa muono wangu Ralf kashindwa hili na ndio linalomtesa.
Sema labda kwa kuwa alijuwa sio jukumu lake kuu.
View attachment 2215279
Maku wewe....na kama kama kamstari kako ka mwisho hapo kwenye huo upuuzi wako ulioandika, nisingekuelewa...hapa nilipo namuona F..F CK kila kamera ikimuonesha anaongea na kale kamexico kake kasaidizi.

Timu inahitaji kemistri, mata anahangaika, matic anajitajidi na uzee wao wote na Fernandez, Elanga, maktombi, wanawasababishia beki izidiwe kwa kuendelea kufanya makosa yao.

Somebody in the MD isn't doing his job. Wing haifanyi kazi yake. Elanga na mwenzie wanazidiwa they don't use them Head

Hapa unataka uniambie kocha acheke tu, aweke sigga kwenye papuchi.. don't be silly, manager can't be like that, the same stupid thing ole anatetea ujinga, Moriinho alisema upuuzi kwenye timu Kwa sabb ya watu flan, huyu jamaa pale PSG anazidiwa Kwa sabb ya upuuz huohuo,

At least tuone Fred aongeze nguvu katikati
 
Back
Top Bottom