Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kaka yake lingard amekasirishwa na kitendo cha kunyimwa mkono wa kwaheri wenye baraka za mashabiki na staffs kwa ndugu yake.
img_1_1651572893126.jpg
 
Kwa mara ya kwanza kikosi cha kwanza kimeanza bila Muingereza na tumecheza mpira wa kibabe sana.

Kama alivyohoji mdau hapo juu,ni nani huwa anamuweka MATA benchi?

Eid Mubaraka wakuu wote humu.
Huwa nashangaa sana, na majolity ya washabiki wa utd humu huwa hawaoni ubora wa Mata akiwa uwanjani, wamebaki kuongelea issue ya umri wkt huwa anacheza vzr kuliko hao wenye umri mdogo.
 
Nitashangaa sana kama ETH atajumuisha wachezaji wengine nje ya hawa kwenye kuisuka United mpya..(kwa ambao bado tupo nao)

✓DeGea,Henderson

✓Lindelof,Varane

✓Fred,James Garner,Fernandes

✓Sancho,Elanga,Ronaldo

Niliowataja ndo atleast naona tunaweza kwenda nao kwenye kuisuka United mpya lakini inabidi tusajili zaidi ya wachezaji sita wa muhimu not squad player.

===

+Tunahitaji kuingia sokoni kumsajili CB mwingine kwa viwango vya dunia

+Tunahitaji kusajili RB na LB wapya watakaoweza kutuimarisha..AWB,Dalot,Telles wote wameshindwa kutuaminisha kuwa wana uwezo...Shaw msimu huu mechi alizosheza amekuwa hovyo kuliko kawaida..last season alikuwa on fire.

+DM wa kiwango cha dunia ni lazima aletwe kikosini..McTominay na Fred hawawezi kutusaidia lolote kwenye hilo eneo..nadhani Fred anaweza kuwa mchezaji mzuri kama akisogezwa mbele kidogo,naamini atatusaidia..baadhi ya game alizosogezwa mbele na Rangnick ameonyesha makali kiasi.

+Straika pia ni lazima tutafute dirisha hili.

=====

Pamoja na yote bado uongozi na mfupo mzima wa uendeshaji wa hii klabu lazima uangaliwe upya,tumekuwa tukifanya mambo hovyohovyo tu,naamini sasa mambo yataanza kubadilika na kufanya mambo kama a real football club...mfano ni mikataba ya wachezaji...yaani wachezaji wanapewa mikataba mirefu ya hela nyingi isiyokuwa na kichwa wala miguu na wakiaanza kuflop hata kuwauza tu hawauziki.

I'm looking foward kuona ni kitu gani ETH atafanya kwenye dirisha hili ya usajili linalokuja na how our pre-season will be.
 
Scott ni mpumbavu mmoja hv anayepewa game time lkn hanaga impact yoyote.
Scot ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha United kwanza anaongeza energy na physicality kwenye kikosi chetu ambapo asilimia kubwa ya wachezaji wetu hawana.

He is overly committed kuliko wachezaji wengi kwenye kikosi chetu nafikiri ukiondoa Bruno na Ronaldo Scot ni mchezaji anayekuwa committed zaidi uwanjani kuliko wengine hii commitment yake inafanya afanye makosa mengi hasa anapoamua kwenda mbele.

Ana mapungufu yake mengi ambayo kimsingi yanachangiwa na mambo mawili 1. Ni poor coaching chini ya Ole japokuwa kipindi hicho alikuwa productive zaidi kuliko kipindi hiki. Timu nzima kucheza katika mfumo usioeleweka.

Bahati mbaya mashabiki wa United huwa tunawepesi wa kusahau sana misimu miwili iliyopita Scot alikuwa ni mchezaji ambaye ukimkosa kwenye midfield unahesabu kuwa umefungwa, ni midfield ya Scot na Fred ndiyo iliyoikalisha PSG mara mbili mfululizo, kuitawala Man City pale Etihad kwa zaidi ya mechi tano.

Ole asingekuwa na Scot na Fred huenda angefukuzwa msimu wake wa pili tu.

Usisahau kuwa Scot ni mchezaji mchanga ambaye kwanza ana misimu miwili tu akicheza full season.
 
Yani kwa pira linalopigwa kule Bernabeu nyie msimu ujao mnataka mkafanye nini UEFA..

Si bora mkacheze Conference huko na vibonde wenzenu😁.
 
Camavinga is only 19 years old..lakini anacheza kama mtu,..huyo dogo sijui kwa nini kipindi kile hatukumshawishi aje kwetu.
Kwa hali tuliyonayo vijana wengi wanatukataa kwasababu hatuna development nzuri tukiwanunua.

Felix
Haaland
Camavinga
Bellingham
Adeyemi
(Na hii list itazidi kuendelea)

United inaendeshwa na wapuuzi, walikuja na campaign ya YOUTH. COURAGE. SUCCESS kipindi Solskjaer yupo lakini ndiyo msimu walisajili wazee na wapuuzi wengine kibao.

Angekuja Camavinga wangeanza kuleta ufaza dogo angepewa dk 2 za mwisho sasa hapo utaonaje kiwango cha mchezaji. Garnacho dogo alipewa dk 1 tu sijui hata hakugusa mpira sasa si ufala huo, mchezaji anapaswa acheze siyo kuingia tu ilimradi.

Lazima kuwe na sera angalau kila mechi kijana mmoja au wawili wacheze siyo chini ya dk 25 no matter timu ipo chini ya magoli kwenye mchezo au vipi. Tumenunua wakina Amad na Pellistri lakini hata hawajatumika wametolewa kwa mkopo, Amad alikuwa promising na Pellistri alifanya vizuri pre-season ila wamepelekwa sehemu ambazo huenda wameshindwa kuendana na ligi za huko.
 
Nitashangaa sana kama ETH atajumuisha wachezaji wengine nje ya hawa kwenye kuisuka United mpya..(kwa ambao bado tupo nao)

✓DeGea,Henderson

✓Lindelof,Varane

✓Fred,James Garner,Fernandes

✓Sancho,Elanga,Ronaldo

Niliowataja ndo atleast naona tunaweza kwenda nao kwenye kuisuka United mpya lakini inabidi tusajili zaidi ya wachezaji sita wa muhimu not squad player.

===

+Tunahitaji kuingia sokoni kumsajili CB mwingine kwa viwango vya dunia

+Tunahitaji kusajili RB na LB wapya watakaoweza kutuimarisha..AWB,Dalot,Telles wote wameshindwa kutuaminisha kuwa wana uwezo...Shaw msimu huu mechi alizosheza amekuwa hovyo kuliko kawaida..last season alikuwa on fire.

+DM wa kiwango cha dunia ni lazima aletwe kikosini..McTominay na Fred hawawezi kutusaidia lolote kwenye hilo eneo..nadhani Fred anaweza kuwa mchezaji mzuri kama akisogezwa mbele kidogo,naamini atatusaidia..baadhi ya game alizosogezwa mbele na Rangnick ameonyesha makali kiasi.

+Straika pia ni lazima tutafute dirisha hili.

=====

Pamoja na yote bado uongozi na mfupo mzima wa uendeshaji wa hii klabu lazima uangaliwe upya,tumekuwa tukifanya mambo hovyohovyo tu,naamini sasa mambo yataanza kubadilika na kufanya mambo kama a real football club...mfano ni mikataba ya wachezaji...yaani wachezaji wanapewa mikataba mirefu ya hela nyingi isiyokuwa na kichwa wala miguu na wakiaanza kuflop hata kuwauza tu hawauziki.

I'm looking foward kuona ni kitu gani ETH atafanya kwenye dirisha hili ya usajili linalokuja na how our pre-season will be.
De gea wakumuondoa na yy japo ametusaidia lakin kwa sasa haifai kucheza na kipa hajui kupiga pass na hatoki golini maamuz magumu tu kuondoa hao watu
 
De gea wakumuondoa na yy japo ametusaidia lakin kwa sasa haifai kucheza na kipa hajui kupiga pass na hatoki golini maamuz magumu tu kuondoa hao watu
True..De gea when it's comes to build up ni wa hovyo kabisa..
 
Back
Top Bottom