Ila Man united akishachezaga na kenge za darajani hua ndio anaanza kufufuka yaani lazima ashinde mechi zaidi ya 4 mfululizo halafu mikenge hua ndio unakua mwanzo wao wa kupoteana mazima ni mwendo wa vipigo tu mfululizo mpaka wanaanza kufikiria kumtimua kocha.
Rejea mzunguko wa kwanza ulivyokua halafu tazama sasa hivi mzunguko wa pili unavyoenda.
Chelsea kwa uphaler wenu mnampisha Spurs nafasi ya 3, AsaniAli anakaa nafasi ya 4 halafu nyie kenge tunakutana matopeni kwenye futuhi za jumatano na alhamisi.