Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu suala la kukaba Kipindi cha Ole lilikuwa fixed, as of Msimu uliopita tulikuwa nafasi ya 3 (kipindi cha mou tulikuwa bottom 3 kama sijakosea) tulipitwa na Leeds na Southampton tu, kwa top 6 sisi tulikuwa juu.
View attachment 2206484

Issue kwangu ninayoiona ni Tunakabia wapi, kipindi Cha ole ama Timu ya Taifa uingereza timu inakaa Nyuma, unasubiri adui umkabie langoni mwako, hapa ngumu kukuta nafasi na kuna wachezaji wakiwa compact hawawi exposed sana mfano Maguire. Japo kuna match hizo nafasi zilikuwepo midfield na tulifungwa mashuti ya mbali ya kutosha.

RR yeye ama Klop na makocha wengine wa kisasa wao wana High line pressing, ambao ni mfumo mpya kwetu, even ole alijaribu mwanzo wa msimu, kifupi wachezaji wetu wengi wamefeli huu mfumo, sababu inahitaji mukabe kwa mstari na sio mtu mmoja azunguke uwanja mzima, akitoka mmoja kukaba ndio pale unakuta bonge la nafasi linaachwa.

In short mnacheza mpira wa kizamani.
 
IMG-20220501-WA0017.jpg
 
In short mnacheza mpira wa kizamani.
Mfumo wa Ole (ambao pia upo inspired toka kwa Fergie) upo very effective against gegenpress na mifumo ya Highline, there is a reason ole alikuwa akizifunga Timu kubwa, historically Man U tumezionea sana timu hizi hasa za Ujerumani.

Ila mfumo huu unastrugle against timu ambazo zina posses na Technique kubwa, tumestrugle sana vs Spain Teams.

Inategemea unautumia wapi, ila Chelsea, ATletico, Conte na timu zake, Juve na wengine wengi tu wanatumia zama hizi kwa mafanikio makubwa tu.
 
Sasa nyie mnakusanyika huku kwenye jukwqa lenu wakati hamtegemei chochote, si afadhali mngehamia wote kwa kwa city mkashangilie huko angalau mji wenu wa Manchester upate kitu cha kujivunia. Kukusanyika huku na kujifariji kwenye jukwaa la timu chovu ni kujitakia pressure bure.
YNWA for life.
 
Subiri Pep aondoke ndio utajua hujui. Pep ni lamaya, hakai nyumba moja.atasepa kizungu wanasema wait and see.. wazungu bana wakaendelea kusema, ..we don't give a shit...man city akipata au kukosa. We just f..KY a monster Liverpool some days
 
The Anfield faithful were only too eager to remind their old foe of just how far ahead they are by unfurling a new banner on the Kop before kick-off. "Imagine being us" was the message, telling United they could only dream of being in Liverpool's shoes as they languish in sixth in the table.

Adding to the Red Devils' pain, Liverpool fans could even be heard chanting "who the f*** are Man United" minutes before half-time, when they were two goals up. While the North West rivals are the two most successful clubs in English football, the Merseysiders have been far more prosperous in recent years and scooped yet another major honour in February by winning the Carabao C
 
Mfumo wa Ole (ambao pia upo inspired toka kwa Fergie) upo very effective against gegenpress na mifumo ya Highline, there is a reason ole alikuwa akizifunga Timu kubwa, historically Man U tumezionea sana timu hizi hasa za Ujerumani.

Ila mfumo huu unastrugle against timu ambazo zina posses na Technique kubwa, tumestrugle sana vs Spain Teams.

Inategemea unautumia wapi, ila Chelsea, ATletico, Conte na timu zake, Juve na wengine wengi tu wanatumia zama hizi kwa mafanikio makubwa tu.
Theory yako Ina apply wapi
 
Nimekaa mwezi mzima sijaandika lolote humu..

Lakini leo nakuja na swali dogo tu..Hivi ni nani alimpa Fernandes mkataba mpya wa miaka minne?,...ETH alikuwa bado hajawa appointed,ni nani hasa aliona miaka minne apewe Fernandes?.
 
Yani huku mtaani kuna furaha isiyoelezeka.watu kila napopita wana tabasamu nikasema ni EID lakini ni kakumbuka kuwa mufti katangaza EID ni kesho kuchunguza kujua ni nini.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
 
Back
Top Bottom