Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Haina kichwa Wala mkia. Yaani kama ni mnyama angeitwa dudu.Comment nzima inaelezea ina apply wapi
Kwa mfano"...effective against gegenpress na mifumo ya Highline, there is a reason ole alikuwa akizifunga Timu kubwa, historically Man U tumezionea sana timu hizi hasa za Ujerumani........'ukaishia hapo...halafu ukaendelea......"........mfumo huu unastrugle against timu ambazo zina posses na Technique kubwa, tumestrugle sana vs Spain Teams.........
Inategemea unautumia wapi,..
........,."
wapi nini......
wapi walifanya nini.....
nini Ina nini...
unakwama wapi.....
Unaongea nini kwenye nini....
Ole alitumia gegen lini wapi Kwa nini.......
Kwa nini alitumia highline ipi wapi na nani...