Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,161
Kwa mechi zilizobaki sioni mechi mtakayoshinda hata moja!😃Bado Kipigo kingine hatuwezi kuwafunga Chelsea kwa mchezo huu ni Kipigo tu View attachment 2197773
Kwa mechi zilizobaki sioni mechi mtakayoshinda hata moja!😃Bado Kipigo kingine hatuwezi kuwafunga Chelsea kwa mchezo huu ni Kipigo tu View attachment 2197773
[emoji28][emoji28][emoji28]Oyaa japhee eh! Umezingua mwamba, hujatokea kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2197739
Tatizo lenu mnahesabu vifaranga kabla kuku hajatotoa😂Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha.[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction arsenal 0 Manchester united 3View attachment 2197223
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ferguson angeishia kuwapiga na viatu tu kama vile alivyomtandika Beckm
Tuchel akamuingiza silva tukamkanyaga nneKocha mzuri huwa anaonekana baada ya HT na sub atakazofanya
Huwez fananisha uongoz wake kwenye mech zake na ya 3:1Ametukwana sana, amedhalilishwa mnoo, ametishiwa maisha, Mpaka akataka kutupiwa bomu nyumbani kwake. Lakini Mwisho wa Siku Ukweli umebainika kuwa TATIZO sio Maguire.
Marehemu alikuwa hasimamishi 😁😁Marehemu alikuwa jeuri sana😂😂😂😂😂
Sioni haja ya kwenda kucheza UEFA/Europa/Conference msimu ujao.Kama leo tungeshinda tungekua kwenye position nzuri sana...Spur anakufa au kudroo kwa brentford Leo
Hivi unajua kwamba ulicho andika ni upuuzi??Kama leo tungeshinda tungekua kwenye position nzuri sana...Spur anakufa au kudroo kwa brentford Leo