Lembua upo?Arsenal sasa naona wanapendelewa tu na marefarii
Watu wamesukumana kwenye makalio halafu unatoa penalti
Handball ya wazi kwa ule mpira wa Sancho VAR wakareview harakaharaka wakapotezea
Yaani litimu limekua la kipuuzi wanashirikiana kati wakifika golini aliyewahi na mpira anawaza kupiga bila kujali Angle.Elanga anawaza penalty badala ya kufunga.
Umeona eeh kalivimba kichwa kale kadogo...pia Telles yuko Underrate sana ila Movement za hatar anazofanya namuelewa sana uyu jamaaHiyo elanga kale kabahati ilikokapata mechi ya Atletico ... Siyo rahisi kujirudia
Varane bila shaka, la kwanza maana Telles alijua Varane ataclear mara paap blunderMagoli yote mawili Alex Telles amehusika
La kwanza alicheza msondo ngoma mpira alikuwa na uwezo wa kuuondoa akauacha umfikie Saka
Goli la pili alikuwa anacheza disco na Saka tena refa katoa penalti
Kashaweka huko subiri kipindi cha pili awaweke tenaLeo Ronaldo kishipa nimemuweka na muhuni wa kibrazili Gabriel mwamposa..
Najua mtasingizia kuwa katoka msibani![]()
Refa kavu Sana. Sema hii mechi sio ngumu kwetu. Tukiwa serious tunashindaElanga alivyosukumwa na Saka alivyosukumwa kuna any difference maana wote wamelose balance, why penalti?
Mpira wa Cedric kurudiswa na mkono refa anajifanya haoni
Yaani inatia HASIRAArsenal sasa naona wanapendelewa tu na marefarii
Watu wamesukumana kwenye makalio halafu unatoa penalti
Handball ya wazi kwa ule mpira wa Sancho VAR wakareview harakaharaka wakapotezea