Enhe kapata mangapi bwana lembuaUchu alionao Ronaldo leo atapata pia hat-trick
Enhe kapata mangapi bwana lembuaUchu alionao Ronaldo leo atapata pia hat-trick
Nyumbu unaweza kushinda?Kuingiza Rashford na Lingard hasara nyingine, hakuna kushinda hapa
Hiyo team ata yesu habebi kituHii timu angepewa Furguson na uzee wake huu angebeba EPL kila msimu
Labda EPL Ya playstationHii timu angepewa Furguson na uzee wake huu angebeba EPL kila msimu
Kweli kabisa wanamsingizia tuu jamaaa. Timu lenyewe bovu tuuAcheni kumsingizia Magure nazani leo mmeona.
Tatizo hawa nyumbu sio wavumilivu. Huyo kocha hatapewa muda. Wataanza kumponda akina scholes, Ferdinand, Keane na giggs.Wanamsubiri Ten Hag aje tum- hug
Kwa mbinde sana, katuchoma goli la tatu halafu kakosa penati.Hatimaye Bruno OUT
Yaani INAKERA, wachezaji waliocheza chini ya Ole na Mourinho wasafishwe kuondoa kundi la kipumbavu, lisilokuwa na maana.Kila siku wachezaji walewale na wanatoa output ileile. Kwanini wasipewe nafasi hata wale vijana kina Mejbri, Gernacho nk, kocha ana maneno mengi kuliko vitendo
Basi mmeshinda 4-3 Ronaldo hat-trick😆Umehamia kwenye kuongoza baada ya CR7 kuwatomasa
Organization ya timu mbovu. Huu uchezaji ni typical image ya kocha anayewafundisha, hata watoto wa mtaani akipata kocha mzuri hawawezi cheza utopolo wa namna hiiiAcheni kumsingizia Magure nazani leo mmeona.
Mnavyoandika English course zenu mnazielewa kweli?? Lugha bana!This is arsenal, those were who were expecting a back to back win poleni