Hii timu angepewa Furguson na uzee wake huu angebeba EPL kila msimu


Ferguson angeishia kuwapiga na viatu tu kama vile alivyomtandika Beckham.Mnavyoandika English course zenu mnazielewa kweli?? Lugha bana!
Na kwali haiwezekan mchezaji anafanya upuuz kocha huwez Muacha ni mbwa mbwa tu ataachaFerguson angeishia kuwapiga na viatu tu kama vile alivyomtandika Beckham.
Japo timu mbovu ila naona De gea ana kismart sana yeye anaongoza karibia kila mechi anaruhusu mabao zaidi ya mawili ila hapewi lawama kabisa wala kuwekwa benchi.
Na hii nayo unaielewa? Unapoandika jisikilize wewe mwenyewe kwanza. Ukielewa upostNilikuwa na furaha typo hiyo
Mpigwe 10Kila siku wachezaji walewale na wanatoa output ileile. Kwanini wasipewe nafasi hata wale vijana kina Mejbri, Gernacho nk, kocha ana maneno mengi kuliko vitendo
Kuwa na huruma bro😂😂Nawakumbusha tuView attachment 2197709