mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Kumbuka magwaya ndio captain fantasticHalafu akabakishwa magwaya. Na bado anacheza mechi zote za ligi. Nani anatoa hizo order, sio kocha, ni wamiliki na mpumbavu fergie na genge lake.



Kumbuka magwaya ndio captain fantasticHalafu akabakishwa magwaya. Na bado anacheza mechi zote za ligi. Nani anatoa hizo order, sio kocha, ni wamiliki na mpumbavu fergie na genge lake.



Uliowataja hata Azam hawawezi pata numberDalot fala alafu kocha anampangaje no ya telles, si angempeleka Lindelof pale wan Bissaka akae pa Lindelof alafu Dalot acheze kama winga wa kulia alafu Bailly awepo kubalance postioning maana Maguire hasara tupu. Mara Dalot amcover na kuacha gape kwa Salah.
Nenda wewe ukabalance positioning na kucover ilo gapeDalot fala alafu kocha anampangaje no ya telles, si angempeleka Lindelof pale wan Bissaka akae pa Lindelof alafu Dalot acheze kama winga wa kulia alafu Bailly awepo kubalance postioning maana Maguire hasara tupu. Mara Dalot amcover na kuacha gape kwa Salah.
Kama hii comment mlisoomaKuna mtu anaitwa Thiago Alcantara
Huyu jamaa anampira flani kuonekana wengine mafala tu uwanjani
Yani Mpira wa kunata sana
Mpuuzi anaujua sana huyu, kama haukubahatika kumuona xavi, wewe muangalie huyu mbwa inatosha sana
Kidogo lakini wamejitahidi kuonyesha uungwana kwa kutufunga goli 2 tu kipindi cha kwanza, naimani kipindi cha pili watatuhurumia tena na kwa huzuni tuliyoinyesha wanaweza kutuachia tufunge japo kagoli kamoja ka kufutia machozi.Liverkuku utulivu wanao ila UTU hawana kabisa hawa wahuni![]()
Trashford yuko mbele.HT Timu Haijapiga Hata Shuti Moja![]()
PoaNenda wewe ukabalance positioning na kucover ilo gape
Mkuu kwani wewe unataka wapige shuti la nini!?? Wao wamechagua kutopiga shuti loloteHT Timu Haijapiga Hata Shuti Moja![]()
Nipo kaka tupo huku tunapunguza machungu ya matusi yao wanayo tutukana.Kiongozi umepotea sana kwenye Jukwaa letu
HASARA TUPU, alafu eti Benchi Bailly na Telles.Uliowataja hata Azam hawawezi pata number
Anakuja ten hagTrashford yuko mbele.
Tuna waingereza 5 overrated uwanjani. Ambao wanafaa kuondolewa wote.
Tuna Bailly na Telles ambao wapo vizuri kwa defending kuliko vilaza Maguire na P. Jones.
RALF NISHAMDHARAU



Haitakuwa na maana ikiwa tuna Wachezaji wale wale waliofukuzisha makocha wawili kazi.Anakuja ten hag![]()
Huyu kocha wetu nae ni wa michongo tu, kikosi chake jinsi anavyokipanga hua napata mashaka kama kweli ana leseni ya kufundisha ligi daraja la kwanza.Dalot fala alafu kocha anampangaje no ya telles, si angempeleka Lindelof pale wan Bissaka akae pa Lindelof alafu Dalot acheze kama winga wa kulia alafu Bailly awepo kubalance postioning maana Maguire hasara tupu. Mara Dalot amcover na kuacha gape kwa Salah.
Huyu maguire sii mlisema ni mzuri kuliko coulibally wa napoliHuyu kocha wetu nae ni wa michongo tu, kikosi chake jinsi anavyokipanga hua napata mpaka mashaka kama kweli ana leseni ya kufundisha ligi daraja la kwanza.
Kocha lina mineno mingi halafu uwanjani hamna kitu, yaani akili zake na Maguire kama vile zinataka kufanana.
Inasikitisha Sana MkuuTrashford yuko mbele.
Tuna waingereza 5 overrated uwanjani. Ambao wanafaa kuondolewa wote.
Tuna Bailly na Telles ambao wapo vizuri kwa defending kuliko vilaza Maguire na P. Jones.
RALF NISHAMDHARAU
Yes tulisema ni mzuri ila hatukumaanisha mzuri wa kukaba, tulimaanisha ni mzuri wa kutoa boko kuliko huyo Coulibally.Huyu maguire sii mlisema ni mzuri kuliko coulibally wa napoli