Beng beng
Member
- Mar 1, 2021
- 86
- 61
Ndio maana tunaponda kabla hawajaweka mizizi pale kuharibu wanaofata hivyo tatizo kuwa kubwa. Ilianza inshu ya Mshahara ona Pogba anataka 500k kwa kiwango gani?na alikataa nafasi ya kwenda kwa mkopo nchini ufaransa mwezi january, sijui hii jeuri wanaitolea wapi hawa wachezaji.
Nipe sehemu usiyoelewa nikufafanulie Mkuu. 🙏We jamaa hata hueleweki,
Mkuu kwenye ile kampeni ya mashabiki inabidi hata jina la Pogba liwekwe pamoja na akina Glazers.Ningelikuwa na mamlaka ningelimruhusu pogba aondoke kwa ajili ya kobbie mainoo. Dogo ni copy and paste ya pogba mpaka rangi.
jamaa hana muamko hata kidogo, bruno anacheza ovyo sana lakini bado atakuonyesha bidii.Mkuu kwenye ile kampeni ya mashabiki inabidi hata jina la Pogba liwekwe pamoja na akina Glazers.
Hii game nimeangalia kipindi cha kwanza pogba akanikera nikaendaelea na mambo yangu tu.
tatizo la man united ni wachezaji wa🇬🇧🇬🇧, yaan kuanzia ma legend akina scholes hadi hawa in services , mizizi hii iko hadi kwenye bodi ya timu . Wako native sana .na alikataa nafasi ya kwenda kwa mkopo nchini ufaransa mwezi january, sijui hii jeuri wanaitolea wapi hawa wachezaji.
Kuleta kundi kubwa la wachezaji kwa wakati mmoja is a recipe for disaster. Sioni kama ni busara kusajili hovyo hovyo ni rahisi kujichimbia kaburi refu endapo wata-flop.Kwa mtizamo wangu,tunaweza kununua wachezaji hata 6 dirisha lijalo la usajili ilimradi tunauza wachezaji wetu wengi ili kubalansi vitabu vya mahesabu tu.
Kama sijakosea ni msimu wa pili Pep alinunua wachezaji takribani 5 hadi 6. Tusisubiri misimu 3 au 4 kurudi kwenye peak yetu wakati tunaweza kufanya zoezi hilo ndani ya misimu 2.
Tumeteseka sana sana sisi United hadi jersey tumegawa.
Joh unauhakika hatuna haja ya kutafuta beki mwenye ubora wa kusimama nafasi ya Maguire?Kuleta kundi kubwa la wachezaji kwa wakati mmoja is a recipe for disaster. Sioni kama ni busara kusajili hovyo hovyo ni rahisi kujichimbia kaburi refu endapo wata-flop.
Jambo jema kwa sasa tunahitaji kufagia nyumba kwanza. Tupunguze angalau wachezaji 12 wa kikosi cha kwanza yaani wale 6 wanaomaliza mikataba yao jumlisha na angalau 6 wengine wenye mikataba.
Usajili walete wachezaji wapya watatu au wawili. Mshambuliaji mmoja wa kusimama mwenye proven record ya uhakika na umri wake uwe chini ya miaka 24 pia na kiungo mmoja wa kati (prefarably box to box).
Lindelof na Varane sina mashaka nao endapo timu itajengwa vizuri eneo la kiungo cha ulinzi. Hofu yangu Varane ambaye ni pancha sana.Joh unauhakika hatuna haja ya kutafuta beki mwenye ubora wa kusimama nafasi ya Maguire?
Hao waingereza wenyewe wenye uwezo wa kucheza kwenye timu kubwa na kuleta matokeo chanya waliishiaga kwenye kizazi cha kina Wiyne Rooney, Frank Lampard na Steven Gerrard.Tatizo mwingereza akija timu kama yetu kizazi hiki media zao zinamkuza kuliko uhalisia kusababisha tusipate tulichokitarajia kutoka kwake, at least tubalance.
United kwa sasa kila eneo limeshika kutu,labda kama ETH atakuja na mwarobaini wa kuondoa kutu walau ku revive baadhi yao ili tusajili wawili kama ulivyosema hapo juu.Lindelof na Varane sina mashaka nao endapo timu itajengwa vizuri eneo la kiungo cha ulinzi. Hofu yangu Varane ambaye ni pancha sana.
Ukisoma vizuri hapo juu nimeanisha angalau wachezaji wawili at most watatu. Kuna room ya kuongeza mmoja pia ila mapungufu yetu halisi kwa sasa ni kiungo na idara ya ushambuliaji.
Binafsi naona inawezekana kusajili wachezaji 5 hadi 6 walau kuanzia hapo ndio tuwe tunaboresha kidogo kidogo kila dirisha. Pep aliwahi kusajili wachezaji 5 ndani ya dirisha moja na ile timu ilifanya vizuri tu msimu huo.Kuleta kundi kubwa la wachezaji kwa wakati mmoja is a recipe for disaster. Sioni kama ni busara kusajili hovyo hovyo ni rahisi kujichimbia kaburi refu endapo wata-flop.
Jambo jema kwa sasa tunahitaji kufagia nyumba kwanza. Tupunguze angalau wachezaji 12 wa kikosi cha kwanza yaani wale 6 wanaomaliza mikataba yao jumlisha na angalau 6 wengine wenye mikataba.
Usajili walete wachezaji wapya watatu au wawili. Mshambuliaji mmoja wa kusimama mwenye proven record ya uhakika na umri wake uwe chini ya miaka 24 pia na kiungo mmoja wa kati (prefarably box to box).
Alafu watu wanakwambia aondoke hana msaada, mm niliwaambia watafute mchezaji wa kumlaumu ila co Ronaldo mana atawaumbua kila siku, ni kweli uwezo wake wa kumiliki mpiraumeshuka lkn kwa namba anayocheza nowadays anaitendea haki. Kwa umri alionao kwa ss usitegemee akupe kila kitu ila kama shida ni magoli hajawahi kufeli katika hilo eneo.kwa mchezaji anayevaa jezi namba 7 ndani ya man utd, ronaldo ndie wa mwisho kufunga magoli 20 au zaidi kwa msimu na alifanya hivyo mwaka 2008/09. miaka 13 anaweka tena rekodi ya kufunga magoli 20 akiwa na jezi namba 7.
Mkuu watu wamekugusa pabaya kwa kumponda RonnieAlafu watu wanakwambia aondoke hana msaada, mm niliwaambia watafute mchezaji wa kumlaumu ila co Ronaldo mana atawaumbua kila siku, ni kweli uwezo wake wa kumiliki mpiraumeshuka lkn kwa namba anayocheza nowadays anaitendea haki. Kwa umri alionao kwa ss usitegemee akupe kila kitu ila kama shida ni magoli hajawahi kufeli katika hilo eneo.
Watafute wa kumponda wapo wengi pale utd.