D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Huyo Shaw si mpk mlimuita shawberto Carlos
Dah kila mchezaji anayepostiwa watu hawamtaki wanasema AENDE TU.
Binafsi Ten Haag
Safisha
Maguire (Halifai hata kuvaa jezi)
Pogba, Ronaldo, Rashford (Usupastaa wa ukilaza)
Lingard, Jones, Shaw, (Uingereza usio na faida)
Hawa wanahitaji kukemewa
Bruno (Mlalamikaji mkubwa ila cha ajabu ndie anapiga piga hovyo mipira mawenge mengi inabidi aambiwe ukweli)
Hawa wanahitaji Confidence boost na kuwajengea uwezo.
McTomminay (Volley yuko poa, mashoot yuko poa, sema confidence kwishney hajiamini vile, dribbling yake naikubali inahitaji arudishiwe confidence aache faulo)
Wan Bissaka (Namkubali sana, ila dogo anahitaji confidence boost akisogea mbele ajiamini ili awe anatoa crosses pia anaweza kuwa trained as CB kumuepusha na lawama za attack)

Not me Boss, sijawahi mkubali anavyoacha upande wake wazi.Huyo Shaw si mpk mlimuita shawberto Carlos![]()
Unaongelea Bissaka huyu huyu anayewaza kuingia chini ya miguu ya watu au kuna mwingine mkuu?
Dah kila mchezaji anayepostiwa watu hawamtaki wanasema AENDE TU.
Binafsi Ten Haag
Safisha
Maguire (Halifai hata kuvaa jezi)
Pogba, Ronaldo, Rashford (Usupastaa wa ukilaza)
Lingard, Jones, Shaw, (Uingereza usio na faida)
Hawa wanahitaji kukemewa
Bruno (Mlalamikaji mkubwa ila cha ajabu ndie anapiga piga hovyo mipira mawenge mengi inabidi aambiwe ukweli)
Hawa wanahitaji Confidence boost na kuwajengea uwezo.
McTomminay (Volley yuko poa, mashoot yuko poa, sema confidence kwishney hajiamini vile, dribbling yake naikubali inahitaji arudishiwe confidence aache faulo)
Wan Bissaka (Namkubali sana, ila dogo anahitaji confidence boost akisogea mbele ajiamini ili awe anatoa crosses pia anaweza kuwa trained as CB kumuepusha na lawama za attack)
Yes inayohitajika ni backbone ya timu.Sema akisajili madogo km anthony, halaand,CB, CMD, nahic atafany vzr sana.
Hii mechi. Tupige BAO kadhaa zitatusaidia baadaeLeo Kama Vipi Hawa Norwich Mashabiki Tuingie Tucheze Nao Wenyewe Tu.
Huyo huyo mkuu, confidence ishakufa now ni ovyo ila dogo ana msaada ikiwa timu itajielewa from Keeper mpaka washambuliaji.Unaongelea Bissaka huyu huyu anayewaza kuingia chini ya miguu ya watu au kuna mwingine mkuu?
Dalot hata Ten Haag kasha toa order kuwa hana mpango nae. Dalot siyo beki yulee.Huyo huyo mkuu, confidence ishakufa now ni ovyo ila dogo ana msaada ikiwa timu itajielewa from Keeper mpaka washambuliaji.
Unategemea apocket nani sasa ikiwa wakibadilisha upande wake wa mashambulizi wapeleke kwa Shaw na Maguire, plus mawinga wabinafsi kina Trashford kupoteza mipira then full back uanze mbio kulinda.
ILA BOSS UNAWEZA PENDEKEZA RB anayetufaa tujue.
Dalot anazingua Ulinzi.
Mganga wake ana PHD ya ulozi. Mbona hamuelewi??Ila huyu mzee na Maguire dah nimechoka nae mpuuzi.

Huyu mzee nae hakuna kocha hapoIla huyu mzee na Maguire dah nimechoka nae mpuuzi.