Manchester United (Red Devils) | Special Thread

20220317_180155.jpg
 
Magwaya kama kawaida timu ya taifa

Alafu anatokea mpuuzi mmoja wa majumba 7 huko, anatema shit kuhusu le captain. Fuc*k u
 
Official draw #UCL

Chelsea-Real Madrid 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Manchester City-Atletico Madrid 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Villarreal-FC Bayern

Liverpool-Benfica 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
 
MMESIKIA?
Kuna uwezekano mkubwa mabosi wa Manchester United wakabadilisha maamuzi yao hewani na kumchukua kocha wa Chelsea Mjerumani, Thomas Tuchel ili aendee kufundisha timu hiyo kama kocha mkuu.

Manchester United imekuwa kwenye mchakato wa kutafuta kocha mpya kwa muda mrefu kwa sababu timu haipo kwenye hali nzuri kwenye msimamo wa ligi na haijafanya vizuri pia kwenye michuano mbali mbali.

Ingawa kumekuwa na taarifa zinazodai kwamba kocha wa Paris Saint-Germain ambaye anaonekana kukalia kuti kavu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo, Mauricio Pochettino, ndio anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya kocha Ralf Rangnick lakini katika siku zahivi karibuni mambo yamebadilika na Tuchel ndio anatajwa sana.

Moja ya sababu ambazo zimer ipotiwa kuwafanya mabosi wa Man United waangalie uwez ekano wa kumpata kocha huyo ni kuwa tayari ameshaonyesha kwamba anaweza kufanya kazi England tena kwa mafanikio.

Tuchel amekuwa na CV tofauti ukilinganisha na Pochettino ama Eric ten Hag ambao moja ya sifa ambazo zinaonekana kuwaangusha makocha hao ni kushindwa msimu huu kupita kwenye hatua ya 16 bora hususani kwa Pochettino ambaye alikuwa na kikosi cha wachezaji wengi wazuri.

Tuchel ilimchukua miezi minne tu kuchukua taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na Chelsea msimu uliopita ikiwa ni miezi mitano baada ya kuifikisha PSG fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwenye historia hiyo.

Baada ya hapo aliiongoza Chelsea kuchukua taji la Klabu Bingwa Dunia na UEFA Super Cup, vilevile akaiwezesha kufika fainali ya Kombe la FA na Carabao.

Man United wanataka kutumia hali inayondelea Chelsea kumng’oa Tuchel.

Mwanaspoti
 
Source ya habari mwanaspoti mashabiki wa man u endeleeni kujipa moyo maana kila kocha duniani mnamtaka nasikia mnamtaka profesa nabi ya yanga
 
Yaani huyu muhuni ndio watuletee Old Traford?
Si bora hata wamlete Jamhuri Kiwelu kocha wa majimaji ya Songea.
tapatalk_1260956745_360x450.jpg
 
kenge bana kwa kupenda kujifariji.
Yaani laiti ungejua jinsi Madrid atakavyo kudhalilisha nyumbani na ugenini basi usingeonea kabisa huo utopolo wako.
Madrid ni mteremko sana kwangu....

Ntajipigia hamtaamini Kenge nyinyi.
 
Sancho mlaini sana kiufupi naye tumepigwa..
Kuna winga gani pale man city ni mgumu adriz unaweza nambia Berndardo Silva ana ugumu gani? Mahrez? Grealish? Sterling? Man u ni mbovu tu, hata ipewe Halland yule wa moto kabisa akikutana na virusi kina Rashford lazima aflop tu..

Inahitajika re - shuffle kubwa sana pale mzee
 
Back
Top Bottom