Frankly speaking tatizo la Manure sio CR7 bali watu wanaotakiwa kumpa huduma. Tatizo la msingi ni uwezo wa kocha ni mdogo kujenga chemistry na filosofia ya kucheza na kushinda mechi. Juzi na spurs viungo walibahatisha kucheza vizuri hasa fredy ila sasa Fred form yake ni on and off. Midfield ikiboreshwa hata Rashford na Elanga na Ronaldo watakuwa wafungaji wazuri sana. Fredy na Mctomnay hawako kwenye kiwango cha kugombea makombeHuyo ana bebeshwa majukumu mengi wakati jukumu lake yeye huwa ni kufunga tu!!! Ronaldo akabe,atafute mipira,arudi kuzuia duuh.
Atafute timu ambayo ata relax kwa shughuli moja tu,Kutikisa nyavu.Ndicho alicho fanya alipo kuwa na Madrid.
"Man u ni timu kubwa duniani"Man u ni timu kubwa duniani,
pengine haitoshi lazima useme yenye mafanikio makubwa
Ukiziangalia vizuri hizo sentensi zote ni za wakati uliopita, tena uliopita muda mrefu sana
Kwa wakati wa sasa na ujao
Man u ndio team isiyokua na mbele wa nyuma yani; leo kesho na kesho kutwa
Man u kwa sasa na kuendelea ni muendelezo wa matatizo
Yani kama majira ya mwaka, kiangazi na masika
Nisharekebisha"Man u ni timu kubwa duniani"
Kwa akili yako hiyo ni sentensi ya wakati uliopita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna app ninaweza kuipata inayotumia 500 mb kushuka chiniInategemea unataka nini? Kama una mb za kuunga unga chagua Primary server, alafu expand video mara tatu. Utakula mbugi, primary inachukua mb 500-600 tu mechi nzima.
SD server inabebe 600-700
HD server 600 mb.
UHD hapo 800-900 mbs mpaka 1gb
Kuna mdau anauliza mbn cku hizi huweki zile picha zako za nyumbu.Katika baadhi ya mambo huwa moyo wangu una pata furaha ni kuona hizi nyumbu zikifugwa huwa nafurahi sana.
Je team inampa nguvu ya kuwa na sauti zaidi ya wachezaji?short and clear
kwa sasa man u inahitaji kocha mwenye kuogopeka na wachezaji
na mwenye sauti
alivyo kuwepo jose aliogopeka kidg mana ukizingua ni bench na alitupa kikombe
baada ya hapo hawa wengine ni kucheka tu na wachezaji kutokana na majina yao
man u ni kama psg lakini si kama real madrid ya ancellot
wataelewa wachache sana
Mwenye utukufu wake cr7 aondoke tena????
Not Ghanian it's Ghanaian.Ntakua wa mwisho kuamini FRED ni mbrazil
Inahitaji maelezo mengi sana kumshawishi mtu eti Fred ni mbrazil alafu partey ni Ghanian
Ndiyo ipo, hii hapa [emoji116][emoji116]Kuna app ninaweza kuipata inayotumia 500 mb kushuka chini
Kwani Ronaldo kashindwa kufunga kwa kiwango cha juu?Ronaldo ana miaka 37,kama tutapenda kurejea katika nafasi yetu ni lazima kumtafuta striker wa kiwango cha juu na suala la umri likipewa nafasi ya juu.
NashukuruNot Ghanian it's Ghanaian.
[emoji16][emoji16] Litimu linaboa hiloNisharekebisha
Alafu mbona umekua mkali sana mkuu, kwanini uniulize huku ukihoji akili yangu,??[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole sanaNi muda wa kupata raha jameni ni kufurahi tu.[emoji16][emoji16]View attachment 2152166
Alikua anajiangusha hovyohovyo tu akitegemea mbeleko za refa, ila uzuri wa refa faulo zote za kijinga jinga alikua anapeta tu, hasimamishi mpira kwa upumbavu wa kujiangusha angusha.Duh huyo kiumbe kwali alicheza? Maana sikumuona uwanjani.
Yaani utafikiri yeye ndie tu anacheza, atulie basi mechi ya middlesbrough na Watford alipoteza chance nyingi kisa mapepe.
Ukute anataka asifiwe.
Mpenda Sifa haogopi hasara
Elanga sio Muingereza mkuu!Humtaki wewe kama nani?