Hiyo Psg Leo imefanywaje?tukimpa timu pochettino yatakuwa yaleyale bado madrid ya sahivi haina ubora wakushindana na psg na hata kwenye ligi yao bado timu inavyocheza na kipindi cha tuchel na bado hakuwa na kikosi kizuri kama hiki ila alikuwa anakimbiza sana
Af Ferguson Alishawahi Mpendekeza Huyo Jamaa...Mzee Nae Alitaka Kutupeleka Cha Kike Tena Mwanzo Alituongopea Kwa Moyes Saiv Ingekuwa Kwa Pochetino.Pochetino ni takataka kashakataliwa kabla hata ajaanza kazi.
Kilichotokea jana kwenye Usiku wa Mabingwa tells it all.Poch ni kama tumemrudisha Ole tukambadilisha jina.
Huo upendo uliuonea wapi?Au hisia zako tu. Acha upumbavu wa kuto kufikiria na KUJIFANYA huoni na KUJIFANYA huelewi.Huyo mkali dhidi ya wachezaji kafanya kipi Cha maana ? Mechi alizo takiwa ashinde karibia zote kaboronga dhidi ya kina Watford,Middlesbro,Aston villa,Soton, Newcastle,Burnely na wolves mechi zote izo hakukuwa na sababu ya kutokupata matokeo Kwa sababu kama ni mpira UTD Ili wazidi wapinzani Kwa Kila kitu kwenye izo mechi zotee.Utazingizia wachezaji,Lakini haujiulizi ni kwanini wanafukuza kocha na hawafukuzi wachezaji.Kocha ndiye anatakiwa kuja kumfukuza mchezaji Kwa sababu ya mbinu na mifumo yake anayotumia.RR atasingizia Nini????? Dirisha dogo la usajiri aliulizwa mchezaji Gani atasajiri alijibu hakuna haja ya kusajiri Kwa sababu waliopo wanamtosha na Wana vipaji lakini anae taka kutoka mlango uko wazi ndo kina Martial wakatoka.Na mwanzoni kabisa wakati anaingia UTD alikuwa anawasifia wachezaji kuwa UTD ina vipaji na akijinadi atafanya makubwaa dhidi ya wachezaji waliopo.Acha kuongea upumbavu.
Ole was absolute failure.
Wachezaji walimpenda kwasababu hakuwa mkali.
United ishajifia wewe unaongea habari za old skull tactics za mzee Fergie, just hire an elite coach in ETH muenjoy modern footie na sio kukumbusha habari za zilipendwa.Ukitaka kujua Man Utd ni timu kubwa, angalia wapinzani wa timu nyingine wanavyokuja kutembelea hii thread na kuponda. Hahah.
Ng'ombe hazeeki maini, tupo vibaya kiform in recent years, ila we are the best of the best kuwahi tokea duniani ndio maana mkisikia man utd roho zenu zinatawanyika.
Get a life you idiots.
Wewe Leo utateseka kimwili na kirohoManchester United inacheza leo na dunia yote ina furaha![]()




RR namuelewa sana mzee kwenye sehemu hizi hatafuni maneno wasituchoshe uwanjani ziro ukiwekwa benchi unaanza drama za kuondoka mpuuzi aende wameondoka watu wamaana wakiwa kwenye peak sembuse yeye.Rangnick on Rashford future: “The window is closed right now. Even in case, suppose Rashford and his agents or his family at one stage of the summer think about maybe going to another club, well then he can do that - but in the summer. Not now”.
Hawa ndio wanaume, huwezi mlazimisha mchezaji ajitume au atake kucheza, na hakuna mchezaji mkubwa kuzidi team.
After the famous False 9 position in football, Harry Maguire has invented a new position called the False 5.




Wachezaji walirelaxOle Ilibaki Padogo Tu Awape Ubingwa Wa Ligi Man U Msimu Ulopita...Sijui Kilimkuta Nn Jamaa Akashindwa Kuwa Na Consistency.
Hapana PSG ni underdog kwa Madrid na itaendelea kuwa hivyo.Kilichotokea jana kwenye Usiku wa Mabingwa tells it all.
Hapana PSG ni underdog kwa Madrid na itaendelea kuwa hivyo.
Huwezi kutenmgemea underdog aitoe timu yenye uzoefu mkubwa kama Madrid kwenye mashindano.