MagwayaNi muda wa kupata furaha sasa[emoji16][emoji16]View attachment 2148199
MagwayaNi muda wa kupata furaha sasa[emoji16][emoji16]View attachment 2148199
Absolutely cracker.A cracker [emoji298]️[emoji298]️[emoji95][emoji95]
Ronaldooooo..
Kaninyamazisha kwa muda
Huyu mshua hata akienda kwenye consultation role ile, mambo yatanyooka saana.. hapambi maneno, hakupaki mafuta, watakimbia wengi tu pale subiri utaonaRR namuelewa sana mzee kwenye sehemu hizi hatafuni maneno wasituchoshe uwanjani ziro ukiwekwa benchi unaanza drama za kuondoka mpuuzi aende wameondoka watu wamaana wakiwa kwenye peak sembuse yeye.
Mwisho wa mechi tuku tagg au utakuja mwenyewe?Nyie takataka hamna timu ya kuifunga Spurs.. nitarudi mwisho wa mechi.