Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Atakuwa anaongelea bajeti ya man u au ya Arsenal? Kuhusu pesa achana na man u kabisa, ina matokeo mabaya uwanjani ila kifedha na biashara usiwaguse kabisa.. hizo Paundi milioni 50 labda bajeti ya spurs.. Pogba salary yake tu £350,000 kwa week, akiondoka unajua ni mshahara wa watu wangapi wapya tukileta? Cavani £250,000 unajua ni pesa kiasi gani hiyo?
 
Kwahiyo sisi ndo mlitaka tumfunge city ili Liverpool akae pale juu
subirini wana liver mtakutana nae vita yenu msituhusishe kabisa
ajabu kufungwa kwetu mashabiki wa Liverpool ndio imewauma zaidi halafu mashabiki wa Man United tuko na mafuraha kama yote.
Kweli nimeamini maneno ya allypipi kua hii ndio timu ya furaha dunia nzima, yaani jana mashabiki wa Man United kila kona walikua wanaoimbea Man City ishinde na kweli bana dua zetu zimekubaliwa.
Liverpool pambaneni wenyewe acheni kutegemea mbeleko za Manchester United kuku nyieeee.
 
Naomba uondelezee huu uchambuzi umeanza kwa kipa twende kwa backline yetu....kuna vitu tutapata hapa kulikon kubweka bila sababu yyote
 
Sisi tunajua hali halisi ya team ndo maana tuna furaha
sasa liver wanataka washinde hii ligi ili tulingane wewe ulisikia wapi?
 
Mbaya zaid wengi wenye nafuu wanakuwa free agents.
 
Sidhani kama assesment yako iko sawa,weakness ya De Gea sio kubwa kama ulivyoandika na unachomlaumu
Manchester United wana matatizo 99 na De Gea ni mmojawapo so sidhani kama ukisolve tatizo moja utakuwa na nafuu

1.Manchester United haijawahi kuwa na kocha anayecheza mfumo wa kucheza kuanzia nyuma ukilinganisha na makocha kama Pep,,Tuchel,Klopp au Arteta kama tungekuwa nae huenda angeshamuuza/au De Gea ange-improve lakini kuanzia SAF,Moyes,LVG,Jose,OGS hakuna ambaye aliona hiyo weakness kwa kuwa formation zao hazikuhitaji kucheza kuanzia nyuma.

2.Defence nzima ya United ni mbovu kucheza kuanzia nyuma except Lindelof the rest wote ni wabovu ,tofauti na wenzetu Matip & Van Dijk,Dias & Laporte,White & Gabriel,Rudiger/Silva/Christensen ,wenzetu baada ya kujua mfumo wao unahitaji wachezaji fulani basi wamekuwa wakinunua wachezaji wanofit kwenye mifumo yao tofauti na sisi ndio maana wachezaji wengi wanaflop United tofauti na wenzetu.

3.Katika hao makipa uliomlinganisha nao De Gea ndio amepigiwa mashuti mengi kuliko wote,sababu timu yetu haichezi vizuri kuanzia kwenye midfield na defence yetu iko very disorganized.Timu yeyote inayocheza na United ni rahisi sana kufika golini.Magoli mengi ambayo United amefungwa ni uzembe wa timu nzima na individual mistake za viungo Bruno,Fred,McTominay,Pogba kwenye defence mistake nyingi ni Shaw & Maguire
 
Huo msimu wa 2026/27 hiyo rebuild ndo itakuwa imeshafanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…