kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,024
- 15,804
tunasubiri lazima kiumaneNyumbu leo mnashinda uhakika.
tunasubiri lazima kiumaneNyumbu leo mnashinda uhakika.
Mh pana ushindi hapa looserpool wakatuombee mema kweli.
Kama ni mbovu basi team yako ni mbovu zaidiChelsea wana mziki gani?? Kumfunga Burnley timu mbovu ile ndy unawasifia?
Magwaya yupo?Zachini chini..inasemekana ralf kamwambia ronaldo atoweza kucheza mechi ya leo kufatana na mikiki mikiki yake hivyo Ronaldo nae kaona isiwe kesi ameomba asiwepo kabisa hata kwenye benchi maana kwake kukaa bechi ni fedhea.
Kwaiyo leo tutao wakosa leo
Ronaldo
Cavani
Varane
Shaw
haahahahahaMagwaya yupo?
Ole gunner kwenye mechi za dabi/kubwa alikuwa anazipatia kimbinu.
Ila huyu babu Ralf lazima apokee kipigo heavy. Hana ujanja wa kumfunga Pep
Captain wa timu huyo!kwanini asianze wakati yuko fit?Magwaya yupo?
Muda umewadia sasa. View attachment 2141241