Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamuwezi kutengeneza historia yenu ,

Munacho jaribu kukifanya kishafanywa na hao unao waita nyumbu.Wee unafanya marudio tu.

Ambayo mengine hutoweza kuyafanya Kwa kipindi hiki [KUCHUKUA UCL]
Sasa Kuchukua CL ni kitu ambacho kafanya united tu ...timu kibao zimechukua ..
 
Sasa Kuchukua CL ni kitu ambacho kafanya united tu ...timu kibao zimechukua ..
Kwani tunazungumzia kuhusu timu nyingine?

Hapa tunazungumzia timu unayoiita history fc/nyumbu na timu yako ww man city.
 
Wazee mwenye ile picha ya yule dogo yupo mbele ya Etihad naiomba. Matumizi yake yamekaribia halafu sina.
 
Jack Hana statistics nyingi lakini akiwa uwanjan ana impact kubwa tu ...!

Nyie wachambuzi uchwara ambao mnaangalia goal na assist kujua mchezaji Bora ndio mnabaki na vihoroo moyoni ....!
Hivi wewe ni demu au!? Daah! Una mdomo mrefu.
 
Anaendelea kututukana mchana kweupe, hapa anamaanisha kile tulichoshindwa kukifanya kwa miaka takribani 10 yeye atakifanyia kwa miaka 2.
Teh teh teh

---------------------------------------------------

Rangnick: "All of the top clubs in Europe have [the right structure] in common and this is something that needs to be improved and developed at #mufc in the next two years."
 
Matusi ya ralf yanaendelea

Rangnick: "For the past five or six years, they [Man City] have had a very good and clear identity.

Pep has a clear idea of how he wants to play. This idea is the headline for everything that happens at the club; recruitment, players they will sign or who they may sell."
 
Maneno mazito haya kutoka kwa babu ralf rangnick, kwa ufupi hapa babu anawaambia wenye timu musihangaike na makocha wanaojua kutafuta ushindi wa msimu moja bali tafute kocha atakayeingiza roho ya ushindi kwa muda wote ujao.

Eric ten hag at the wheel.
ndivyo nilivyouelewa usia wa ralf.

---------------------------------++----++++++

Rangnick on if the next manager will be able to give #mufc a clear identity:

"I don't know. That would obviously depend on the manager next season.

Every head coach has his idea of football.

But for me is about continuing at the highest level."
 
Mbona yupo sahihi tu mkuu
 
Rangnick:
"For me, Jurgen [Klopp] and Pep are two of the best coaches in Europe. They have a clear idea of football and have a vision."
________________&&_______________

Huyu mzee ameamua kututukana hadharani
Nachompendea RR, hakwepeshi iwe live, iwe kwenye media, au popote. Wajerumani ndio walivo hata hivyo
 
Maneno mazito haya kutoka kwa babu ralf rangnick, kwa ufupi hapa babu anawaambia wenye timu musihangaike na makocha wanaojua kutafuta ushindi wa msimu moja bali tafute kocha atakayeingiza roho ya ushindi kwa muda wote ujao.

Eric ten hag at the wheel.
ndivyo nilivyouelewa usia wa ralf.

---------------------------------++----++++++

Rangnick on if the next manager will be able to give #mufc a clear identity:

"I don't know. That would obviously depend on the manager next season.

Every head coach has his idea of football.

But for me is about continuing at the highest level."
Sports director Mourtough amesema mipango ya kupatikana kocha mpya ishaanza kwa kasi,so Rangnick hajahusishwa hata kidogo?..
 
Back
Top Bottom