


Zachini chini..inasemekana ralf kamwambia ronaldo atoweza kucheza mechi ya leo kufatana na mikiki mikiki yake hivyo Ronaldo nae kaona isiwe kesi ameomba asiwepo kabisa hata kwenye benchi maana kwake kukaa bechi ni fedhea.
Kwaiyo leo tutao wakosa leo
Ronaldo
Cavani
Varane
Shaw
Harry Mangwea Tena?Muda umewadia sasa. View attachment 2141241
, Tushatiwaa..
Kimoja tyr hukoLeo lazima mfungwe si chini ya 2 goals Elanga ndiye forward?mna utani sana nyie nyumbu







Tunaendelea kuhesabu tulipoishia De BruyneeeeeeeeeeeeeeeTayariiiiiiiìiiiiiiiiii De Bruyneeeee