Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,000
- 27,974
Hilo hata babu aliliona.Rashford na Maguire kesho wakianza sitaangalia mpira..
Leo kuna mwingereza mmoja tu uwanjani..AWB
Sio aende marekani?..Ronaldo anatukaba sana....hapress hafanyi maamuzi sahihi, anakabika kwa urahisi.....msimu ujao aanzie benchi apishe damu changa
Ni wazi sasa Ronaldo hawezi kucheza kama lone striker hata yeye amekubali hilo kwa kuomba ufanyike usajili wa striker msimu ujao.Sio aende marekani?..