Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maguire bwana, huyu amekuwa uchochoro wa goli nyingi tunazofungwa. 70% ya magoli ya kizembe msimu huu yametokana na yeye. Sijui kwanini huwa linapangwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mlileta utani yaani maguire mzuri kuliko koulibaly wa napoli...utani huo. Mgelipa tuu zili euro million mia mngekuwa na kitasa wa maana
 
Yani atletico wanapaki basi kina bruno wanashindwa kuingia pale kati basi ata washambulie kwa nguvu ila nikiwaza beki zilizo baki nyuma ni Maguire na varane sioni afadhari
 
Back
Top Bottom