Utopolo ya Ulaya. Nikatulia kuangalia spurshit na burnleyYani atletico wanapaki basi kina bruno wanashindwa kuingia pale kati basi ata washambulie kwa nguvu ila nikiwaza beki zilizo baki nyuma ni Maguire na varane sioni afadhari
Spurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, kipigo cha leo means hata akishinda hizo game mbili zilizobaki bado tunamuacha point 1, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho..Utopolo ya Ulaya. Nikatulia kuangalia spurshit na burnley
Dawa yake asugue benchi Elanga awe anaanza ata dakika 80 ivi ukute dogo nae anasumbuliwa na mapenzi aisee anacheza takataka tupu mpaka aibu...ata greenwood alianza ivoivo anapiga shuti kama ajala kumbe mapenzi yanautesa MutimaSpurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho.. atletico tutamalizana nae OT, hizi mtoano away goal huwa la muhimu sana..
Rashford ni nini msimu huu? Completely lost kabisa dogo..
Mou alisemaga Shaw ni mchezaji mzuri mwenye kipaji ila anapaswa kuongeza football brain ..Shaw na Maguire wafundishwe offside trap, maana kila magori wao ndio wanaweka mfungaji onside.
mlijipigia ngapi?
Eti eeeeeh?Kwa Atletico hii ya leo tuta-create chance nyingi sana. Wasumbufu wao kama Lemar, Suarez na Griez wapo bench ndugu yao Carrasco katulizwa ila bado Correa na Felix ni wa kuangalia sana beki akifanya blunder hawakuachi.
Atletico wapo solid sana ila muda mwingi wanaokolewa na Oblak tukiwa more clinical hii game inaweza kuisha leo. Naamini kutakuwa na magoli mengi kwenye hii mechi.
Hakuna away goal sasa hiviSpurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, kipigo cha leo means hata akishinda hizo game mbili zilizobaki bado tunamuacha point 1, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho.. atletico tutamalizana nae OT, hizi mtoano away goal huwa la muhimu sana..
Rashford ni nini msimu huu? Completely lost kabisa dogo..
Unanipend tu man unafany nn kwny jukwaa letuWana man u bwana!
Nikiangalia maneno yenu kabla ya mechi hii na baada, nacheka Sana!
Kwa Leo ngoja niishie tu hivyo!
Kamuulize shangaz yko ngap ngapNyie MBUZIMAWE dakika ya ngapi huko??mna matumaini ya kurudisha au mnakata mauno tu huko Uwanjani??
Unatapatapa umbea tu unakusumbua kashindwa kututoa kwao ataweza kwetuKwa ule uchezaji ,atletico anaenda kuwatoa mwenye mashindano.....!
Hii ni kwa watu wenye akili tulioangalia mpira tu ....!
This time hakuna sijui goli la ugenini ,nyote mnaanza upya ....
Sasa umeandika Nini hapaUnatapatapa umbea tu unakusumbua kashindwa kututoa kwao ataweza kwetu




Rudi shuleSasa umeandika Nini hapa![]()
Away goal halina msaada wowote sasa hivi..Uefa wamefuta huo ujinga.Spurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, kipigo cha leo means hata akishinda hizo game mbili zilizobaki bado tunamuacha point 1, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho.. atletico tutamalizana nae OT, hizi mtoano away goal huwa la muhimu sana..
Rashford ni nini msimu huu? Completely lost kabisa dogo..
Dawa yake asugue benchi Elanga awe anaanza ata dakika 80 ivi ukute dogo nae anasumbuliwa na mapenzi aisee anacheza takataka tupu mpaka aibu...ata greenwood alianza ivoivo anapiga shuti kama ajala kumbe mapenzi yanautesa Mutima



mkuu hii post yako imefanya niwe na siku njema.