Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Naon unasbiri maji jagwaniS
Sasa subiri mtandikwe uone kama ni siku ya furaha kwenu.
Naon unasbiri maji jagwaniS
Sasa subiri mtandikwe uone kama ni siku ya furaha kwenu.
Mimi Sina shida na nyie .....kwa sababu ni watoto wadogo Sana ... liverpool ndio tuna Battle nae ...Acha kuwashwa nenda kajiongeleshe kwenye jukwaa lenu kule sijui upo peke yakounatiaga hadi huruma.




kama uliangalia mechi iliyopita utakua uliona alicho kifanya ice man, aligeuka ronaldinho, bila shaka mwalimu amekusudia kuona perfomance kama ile ikitokea upande wa kulia, upande wangu naona amenikosha sana ili na mimi nijionee kama alibahatisha au ana uwezo kweliSijui kwanini kocha kampanga lindelof namba ya dalot na bisaka kusema kocha hawaamini wote wawili.View attachment 2128942
Hakuna team inayofuatiliwa na social medias duniani kama Manchester Utd.Siku ya furaha ni leo watu walikuwa na hamu kubwa kila kona watu walikuwa wanazungumzia hii game kweli nimeamini.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha![]()
Lile jukwaa huwa yupo pekeake tuAcha kuwashwa nenda kajiongeleshe kwenye jukwaa lenu kule sijui upo peke yakounatiaga hadi huruma.

Hapo kwenye backline ndo penye kutia wasiwasi.Our starting line upView attachment 2128931
Wenzake wanasoma bado

yeye ndiyo alifanikiwa kushindwa shule.Ahahaha.Wenzake wanasoma badoyeye ndiyo alifanikiwa kushindwa shule.
Wenzake wanasoma badoyeye ndiyo alifanikiwa kushindwa shule.


Kwamba kama angekomaa na shule uzi ungekuwa hauna wachangiaji?