Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuliko nyinyi mlioanza msimu na team ambayo kila mtu ataogopa kucheza nayo? Wazee wakujiita tittle contenders.
At least sisi siyo tia maji kama nyinyi....

Sisi tumejua udhaifu wa timu yetu lakini tumepoa.

Nyie timu lenu lina majina ila takataka af mnaongea sana.
 
At least sisi siyo tia maji kama nyinyi....

Sisi tumejua udhaifu wa timu yetu lakini tumepoa.

Nyie timu lenu lina majina ila takataka af mnaongea sana.
Lakini si tuliwaambia? Hahahhaa ni vizuri kama tayari mmeshajua kuwa mna team dhaifu.
 
Bora tu magoli ya ugenini yarudi ...

imagine yaani game Bado mbichi ,inaonekana hakuna mlichofanya Jana ...
 
Sometimes natamani timu kama Man U ingekua inaendeshwa kama timu za Simba na yanga kwenye suala la output.

Tusingekua na Maguire wala wajinga wengine. Hata sosha angetimuliwa zamani.

Hata Chelsea hapo hawacheki na mtu.

Nikiona Maguire anachezea timu kubwa ile na mabeki waliopita upande wake napata hasira.
Plus eti ana ukaptain.

Ralf nae napoteza imani hapa.

Mechi serious, waingereza wawe wawili au mmoja first eleven.

Eti unamsub lindelof unaacha kubwa jinga Maguire.
 
Back
Top Bottom