Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa Atletico hii ya leo tuta-create chance nyingi sana. Wasumbufu wao kama Lemar, Suarez na Griez wapo bench ndugu yao Carrasco katulizwa ila bado Correa na Felix ni wa kuangalia sana beki akifanya blunder hawakuachi.

Atletico wapo solid sana ila muda mwingi wanaokolewa na Oblak tukiwa more clinical hii game inaweza kuisha leo. Naamini kutakuwa na magoli mengi kwenye hii mechi.
goli litatoka wapi wakati tunamiliki mpira ila hatusogei kufanya mashambulizi
 
goli litatoka wapi wakati tunamiliki mpira ila hatusogei kufanya mashambulizi
Atletico wa La Liga na UCL ni timu mbili tofauti, kocha na wachezaji wa Atletico wanajua jinsi ya kucheza kila aina ya mechi mpaka sasa wametuzidi kimbinu. Atletico walitafuta goli la mapema ili warudi na kukaa nyuma kwa amani kama kawaida yao.

So far hatujacheza vibaya kwasababu lile basi la Atletico limeundwa na watu makini, kuwafungua Atletico tunahitaji ubunifu zaidi kutoka kwa mchezaji mmoja mmoja pia tutumie set pieces ipasavyo na msimu huu hapo ndiyo tumechoka angalau juzi tumefunga kwenye corner.
 
Wale jamaa wa wanda Metropolitano wameshamaliza game zote mbili kwenye meza, mambo ya strategic plan
Home ni 1-0
Away ni 0-0
 
Back
Top Bottom