inakua nzito sanaJumamosi bila Manchester united kucheza iyo sio weekend kabisa siku inakuwa ya ovyo ovyo.
@Pain killerView attachment 2123459 trust the process
Uyu hapa Pain killer@Pain killer
Ndio nilichokuwa namwambia jamaa pale juu, sio bahati ni tatizo lipoSiyo kukosa bahati hatuna umakini
Kesho tunashinda broWapinzani wetu wanaangusha points kitu ambacho ni kizuri ktk mbio za top 4, draw ya west ham inaleta hopes zaidi, je tutapata matokeo kwa Leeds ngoja tuone..
Ligi inazidi kunoga, bora Man city achukue kombe, maana yale makuku yakichukua kombe tutapata tabu sana mitaani.Majirani wamebanwa mbavu leo
Wanacheleweshewa ubingwa tu hata hivyo![]()
Yanavyojipongeza huko kwao utadhani yalikuwa yanacheza dhidi ya city yenyewe.Ligi inazidi kunoga, bora Man city achukue kombe, maana yale makuku yakichukua kombe tutapata tabu sana mitaani. View attachment 2124337
Yanavyojipongeza huko kwao utadhani yalikuwa yanacheza dhidi ya city yenyewe.
Kombe litakuja manchester tu




Nyie kweli viaz yaan akichukua city mnaona Kama mmechukua ninyiYanavyojipongeza huko kwao utadhani yalikuwa yanacheza dhidi ya city yenyewe.
Kombe litakuja manchester tu
I am not suprised.Anaiweza ligi ya italia tu.mechi ya jana romelu lukaku aligusa mpira mara 7 katika dakika 90 alizocheza, kipindi cha kwanza aligusa mpira mara mbili,
Acha nongwamechi ya jana romelu lukaku aligusa mpira mara 7 katika dakika 90 alizocheza, kipindi cha kwanza aligusa mpira mara mbili,