Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,319
- 5,074
Mkifanikiwa kufika nusu fainali utatupa mrejesho.
Kuna mbwa ana Mearson anasema Man Utd ivunje benki imchukue Declan Rice.Kuna wachezaji pale tuli-flush pesa chooni. Harry Maguire na Aaron Wan Bissaka tungeweza kupata wachezaji wazuri sana kwa dau dogo sana.
Wachezaji wa kiingereza ni mtu mjinga tu atatupa pesa kuwanunua. Hawa wanapaswa kupandishwa kutokea chini mfano wa Marcus Rashford.
Leo hii jinsi anavyocheza Jadon Sancho sioni u-special wowote ambao mtoto aliyetoka academy hawezi shindwa fanya. Mf. mzuri Rashford au Greenwood.
Ubora wa Bruno Fernandes au David Degea sio rahisi kuupata academy ila Maguire, Sancho, Shaw au Bissaka mtoto yeyote wa academy akikaza anaweza kuwafikia.
Academy ina wachezaji zaidi ya 90% wenye asili ya Uingereza sioni haja ya kutumia vibaya pesa kununua wachezaji wa kiingereza. Tutumie pesa kuleta vipaji kutoka mataifa mengine. Tuweke sera ya waingereza kupandishwa kutoka timu za watoto.
Akamatwe auwaweKuna mbwa ana Mearson anasema Man Utd ivunje benki imchukue Declan Rice.
Na kuna mipumbavu itafanya hivyo.
Ndoto hiziManchester United inapocheza dunia yote ina furaha
Kimasihara masihara mechi zote hizo tunashinda na tutamshusha Chelsea hapo alipo.
Halafu habari mbaya zaido kwako United msimu huu kiutani utani inaenda kuchukua UCL.
Inshu sio full control.Inshu ni matokeo.Lini tutampa Kocha full control ya wachezaji kama Fergie, akisema huyu hamtaki bodi inamuondoa by kuvunja mkataba au kumuuza, utovu wa nidhamu piga benchi haijalishi we nani?
Kelele kingi unawekwa mbali na wengine.
Makocha wanazidi kuadimika asee, hizi dharau za wachezaji kwa makocha zimezidi, yote kisa klabu kusikiliza wachezaji badala ya kocha.
Eti kambappe hakataki kufanyiwa sub.
Shit.
Pep, Mourinho waishi maisha marefu.
Man city ina wachezaji ambao wangekua man u wangekua full mabishoo, sema kocha kanyoosha wote, ukileta ujuaji piga chini na hakuna pengo lako.
Source?Official Erik Ten Hag announced to be united head coach upto June 2025
Haya mambo yakuchukua habari kwenye vi brog uchawala ndo shida yake.Official Erik Ten Hag announced to be united head coach upto June 2025
mzee dunia itakuwa na furaha tena lini?Haya mambo yakuchukua habari kwenye vi brog uchawala ndo shida yake.
😅😅😅 jamaa ananifurahisha....united tunaipenda sn na ttasubriamzee dunia itakuwa na furaha tena lini?
Mzee kuanzia kesho dunia italipuka kwa shangwe na vigelegele maana timu ya mioyo ya watu inacheza sio unaona ata mwenyewe hapo keaho kuna ligi lakini kama kuna kamvuto akapo.mzee dunia itakuwa na furaha tena lini?
Ingekuwa inashinda ndio watu wangekuwa wanakufa kabisa mkuu.Mzee kuanzia kesho dunia italipuka kwa shangwe na vigelegele maana timu ya mioyo ya watu inacheza sio unaona ata mwenyewe hapo keaho kuna ligi lakini kama kuna kamvuto akapo.
Sababu ni moja tu timu ya mioyo ya watu aichezi.
Enzi hizo yalikuwa yamejaa maingereza ndo maana ikawa hivyo.View attachment 2123459 trust the process
Siyo kukosa bahati hatuna umakiniHii kusema hatukuwa na bahati tunasema kila siku humu, rejea posts za nyuma..
Tuanzie match 3 za nyuma..
Vs Middlesbrough on target 9
Vs Burnley on target 5
Vs Southmpton on target 8
Ya Middle tukatoka kwa penalty, Burnley draw, Saints draw. Kama ilivyo kwenye set pieces, sio bahati, tunashindwa convert chances, ni tatizo