Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1.NIMEPENDA HII LINEUP HASA BAADA YA KIJANA LINGARD KURUDISHWA KIKOSINI (NI AIBU KUBWA KWA ELANGA KUANZA MBELE YA MTAALAM HUYU) 1. MAKOSA MAWILI YANANINYIMA RAHA HAPA, RASHFORD ANGEANZA BADALA YA SANCHO, FRED KWA NJIA YOYOTE ALITAKIWA AANZE. POGBA NI MZITO NA VIJANA WA LEEDS WANAKIMBIA SANA..HATA KAMA TUYASHINDA TUTAKIMBIZWA SANA LEO.View attachment 2125029
Sijui unaangaliaga mpira wa wapi yani Rashford aanze mbele ya sancho hehehe ajabu.
 
1.NIMEPENDA HII LINEUP HASA BAADA YA KIJANA LINGARD KURUDISHWA KIKOSINI (NI AIBU KUBWA KWA ELANGA KUANZA MBELE YA MTAALAM HUYU) 1. MAKOSA MAWILI YANANINYIMA RAHA HAPA, RASHFORD ANGEANZA BADALA YA SANCHO, FRED KWA NJIA YOYOTE ALITAKIWA AANZE. POGBA NI MZITO NA VIJANA WA LEEDS WANAKIMBIA SANA..HATA KAMA TUYASHINDA TUTAKIMBIZWA SANA LEO.View attachment 2125029
ARV bado unasimamia kauli yako kuhusu Sancho na Pogba au tayari umeshaifuta?
Mtaani leo watu wote wanafuraha mpaka watoto wadogo.
 
Hii timu ikicheza na wanaume lazima iachame tu
Lazima Manure ni jinsia ya kike tena iliyovunja ungo
 
20220220_182931.jpg
 
Back
Top Bottom