Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Suala sio blacks au whites.Mzee atakua hajitumi, black tuna tatizo.
Alitakiwa amaintain ile fomu yake ya PSG vs Man U. Angeenda mbali.
Hakuna kipaji hapo, bila kipaji hata ujitume vipi ni kazi bure.
Angalia Grealish anavyohangaika huko City.

