Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa city ukicheza nao kwa nidhamu ya hali ya juu unawapata wakiwa wazi nyuma muda mwingi. City hawapendi kubanwa wakiwa na mpira.
Bonge moja la mechi hasa kipindi cha pili.

Kops watakuwa wamefurahia zaidi huu ushindi wa spurs kuliko spurs wenyewe.
Game on.

Kuna jamaa mmoja wa liverpool alikuwa anashindia humu Don Clericuzio sijamuona kitambo sana
Mpaka sasa bado sijajua kwanini Ole alimgeuza Guardiola kuwa kibonde wake ilihali yeye alikuwa kibonde wa kila kocha pale EPL
 
We fala sisi vita ya North West Derby hatuiwezi. Kwanza kwanini unataka sisi tushinde mechi ngumu kama hiyo, shida nini? [emoji23]
Hio match sio ngumu mbele ya Ronaldo na bruno mzee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida ni kwamba lazima mshinde hio ili muwe na uhakika zaidi top 4 ,maana arsenal anapalilia ...
 
Kosi la dunia on the atage[emoji83][emoji83]
Screenshot_20220220-162130.jpg
 
Back
Top Bottom