Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ralf kagoma kumpumzisha maguire basi rashford na scot wangeanzia nje waanze elanga,l na fred
 
Dah pogba benchi tena?? Haya ngoja niangalie tu ni vile mahaba yamezidi sina namna wacha bando liende Maguire hahaha okay ndo tushapenda tatizo timu ni kama kabila huwezi kuhama yani ukute mda niko kwa kipara stress za nini wapuuzi hawa.
 
Kosi la dunia on the top
Screenshot_20220215-225554.jpg
 
Back
Top Bottom