
Usiwadharau kabisa Brighton wangekuwa kamili huenda mechi ingekuwa ngumu sana kwa dakika zilizobaki toka ilipotolewa red card. Kule mwishoni Brighton ndiyo kawaida yao kushambulia kwa kasi ya 4G na mechi zao nyingi huwa wanashinda au kusawazisha kwenye dk 10 za mwisho.Tumeshinda ila hii timu inahitaji miujiza.
Struggling against ten men tena wa BHA kweli?? Yani mpira umekuwa na pressure unatamani uishe![]()
Jamaa hapotezi mipira ni mwendo wa mipasi tuSancho anajua nyie, lile li-Pogba liachwe kama lilivyo halafu liongezewe mkataba wa miaka 10
Leo hatukuwa tu na bahati, Brighton alikuwa anaoga nyingi ila li-Sanchez nalo huwa linajua sana moja ya makipa wanaofanya saves nyingi kwenye ligi.



Sio hatukuwa na bahati, match zote toka ujio wa RR team inapiga pasi nyingi, inamiliki mpira shida kumalizia chances zinazotengenezwa..Sancho anajua nyie, lile li-Pogba liachwe kama lilivyo halafu liongezewe mkataba wa miaka 10
Leo hatukuwa tu na bahati, Brighton alikuwa anaoga nyingi ila li-Sanchez nalo huwa linajua sana moja ya makipa wanaofanya saves nyingi kwenye ligi.
Very underrated manager.. kocha mzuri sana huyuUsiwadharau kabisa Brighton wangekuwa kamili huenda mechi ingekuwa ngumu sana kwa dakika zilizobaki toka ilipotolewa red card. Kule mwishoni Brighton ndiyo kawaida yao kushambulia kwa kasi ya 4G na mechi zao nyingi huwa wanashinda au kusawazisha kwenye dk 10 za mwisho.
Mtaalamu Graham Potter.
Acha kabisa, tungefungwa haya malalamiko unaeza sema kuna msiba kwenye huu uziNdiyo maana hii timu ikipigwa watu wanacheka sana.
Imagine baada ya huu ushindi walivyoanza kusifu watu na kudai kazi ndiyo imeanza.
On target 7, saves 5.Sio hatukuwa na bahati, match zote toka ujio wa RR team inapiga pasi nyingi, inamiliki mpira shida kumalizia chances zinazotengenezwa..
Hii kusema hatukuwa na bahati tunasema kila siku humu, rejea posts za nyuma..On target 7, saves 5.
99% ya hizo shots on target na saves ni 2nd half na tulifanikiwa kufanya hivyo baada ya red card na ingizo la Pogba. Bruno na Pogba walianza kutengeneza nafasi nyingi nzuri kwasababu majukumu ya ukabaji yalipungua ila Brighton wangekuwa kamili tusingeweza kucheza na lone DM mbele ya Brighton. Tunahitaji sana a proper DM kuona combo ya Bruno na Pogba.
Kwa on target 7 hatukuwa tu na bahati mbele ya Sanchez.