Huyu kwakweli hamna kocha tunawasingizia bure wachezaji mbona timu zingine zina wachezaji average sana ila wanafanya vizuri mm nataka nikupe mfano hivi Bernardo silver alivokua Monaco na sasahiv Man City no sawa au Rahim Sterling alivo Liverpool na Sasa sawa, sadio mane ,salah, fabinho wapo Kama walivokua mwanzo kipindi wako team zao za zamani.unajua Kuna kocha na Kuna mwalimu Yani klop na pep ni walimu hao more just being a coach. Wana muongezea mchezaji kitu Cha ziada hivi hawa kina rashford, Sancho , Fernandez unafikili ukimpa pep watabaki hivo.hicho kitu kidogo tumekiona kwa pochettino kidogo kwa kina cane,son kina trippier akiwaongea kidogo wachezaji wa uwingereza ni wazuri wanapopata kocha mzuri.kina Alexander Arnold, Andrew Robertson, sasahiv muangalie fli foden is he to interesting Man City haijanunua wachezaji ghari kivile Kama sio grealish walikua price tag yao sijuwi mahrez mil 60