Yawezekana asingepitia ila Ronaldo alikuja kubadili set up ya timu nzima na kibaya zaidi alibadili hadi, mentality ya timu.jana kosa kosa la ronaldo nini ? cavani mpk anatoka ana shot 1 on target ile header ! winger unamtegmea rashford badala ya kumpa mtu anapiga mwenyewe ! hivi ronaldo angeenda city unaamini angepitia wakti mgumu km huu anaoptia man u ?






vinginevyo mtakuja kushtuka miaka 20 mbele huko ...Hii takataka ndy imeandika nini hiki?Nyumbu ndio mnamuangusha sana Magwaya na sio kinyume chake
Mnamkumbuka magwaya wa Leicester city!!! Alikua kitasa kweli kweli
Haya matokeo mnayo yapata baada ya machozi, damu na jasho la magwaya
Kuna uwezekano mkubwa bila magwaya sasa hivi mngekua na Newcastle kule
Kasaini mkataba mpya AC Milan mpaka 2026Theo Hernandez hatari sana.
Hela wazitoe wapi hawa nyumbu ,hii timu italipa watu mishahara minono mwisho wa siku kibubu kitaisha huku kina sacho ,Ronaldo ,Maguire wameshanenepa makalio kwa kula pesa za bure bila kuzitolea jasho ....hatumaye watakuwa kama Barcelona tuMna hela ya kumnunua Haaland au mna jiandikia tu






Binafsi naona msimu huu umeisha upande wetu pia tukiingia Top 4 ni bonus tu!!!Nitampuuza 100% Ralph kama ataanza na Maguire leo.
GGMU.
Haaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.