Cavan anakuwaga siriaz na pia sio mbinafsi kama ronaldoBora ya ronaldo kuliko huyu cavani
Dakika 90 zitaongea
Hamchelwlewi kuja kututukana mara ooh kikosi cha vibakaSiku hizi mkiwa mnacheza hamsemi![]()
Kama unatumia PCWakuu, links gani ni nzuri za kuangalia mechi hii
Watu tulioshindwa kuwasajili.bebe, manucho kutoka angola, mame diouf, alexander buttner. tulitegemea zaidi miujiza ya fergie pamoja na udhaifu wa top 6.
Naomba link ya simu
Download app inaitwa konde tv uchekiNaomba link ya simu
Hasa magwaya, dah huyu jamaa hakui hata kidogoMagwaya na varane hawawezi kuniangusha, ni swala la muda tu
Lucas moura na Ni mhimili ? Psg au Spurs !?Watu tulioshindwa kuwasajili.
1. Luka Modric
2. Manuel Neuer
3. Wesley Sneider
4. Lewandoski
5. Eden Hazard
6. Lucas Moura
7.Vicent Company
8. David Silva
9. Ikay Gundogan
10. Toni Kroos
Katika kundi lote hili ukiondoa Wesley Sneider wengine wote waligeuka kuwa mihimili ya timu walizoenda kwa misimu zaidi ya 8.
Ongezea:-Watu tulioshindwa kuwasajili.
1. Luka Modric
2. Manuel Neuer
3. Wesley Sneider
4. Lewandoski
5. Eden Hazard
6. Lucas Moura
7.Vicent Company
8. David Silva
9. Ikay Gundogan
10. Toni Kroos
Katika kundi lote hili ukiondoa Wesley Sneider wengine wote waligeuka kuwa mihimili ya timu walizoenda kwa misimu zaidi ya 8.
Alikuwa mhimili PSG ya kina Ezekiel Lavezi na ZlatanLucas moura na Ni mhimili ? Psg au Spurs !?