Magwaya na varane safi sana kwa kazi nzuriMagwaya na varane hawawezi kuniangusha, ni swala la muda tu
Hizi confidence ulizitoa wapi mkuu[emoji3]Defense yetu imechambuliwa kama katanga. Ila tufunga mawili au matatu. Mood ni nzuri.
Hii timu hata nikipewa pesa nishabikie nakataa
Acha bwana[emoji23]Leo tunashinda nyingi nimeoteshwa na malaika.
Inashangaza sn.Captain Maguire paundi million 80 [emoji23]