Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Hakuna shabiki wa mpira mwenye emotional intelligence kubwa.Moja ya mashabiki wenye emotional intelligence (EQ) ndogo sana barani ulaya ni waingereza yale mazungu majinga sana.
Huwa timu zao zikipata matokeo mabovu na ikatokea mchezaji mweusi kachoma atajuta kuzaliwa ulaya. Pia IQ za baadhi ya mashabiki wa kizungu ziko chini sana (single digit).
