Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
MAJIMAJI TUNATAKA MECHI YA KIRAFIKI NA MAN UNITED
MAJIMAJI TUNATAKA MECHI YA KIRAFIKI NA MAN UNITED
Na kikosi hiki hiki ndio mnaenda kukutana na Cholo
View attachment 2108622
.Kwa nafasi ya heshima tunaomba utuletee next opponent
Ronaldo jana kaicost sana team, kazingua sanaMkuuuu syo umeanza kumtupa mkono tayari hakuna kitu miaka 36+ bado kijana tu hapna mkuuu hyo ni kibabau cha makumbusho
Ukiwa na kocha sahihi, huhitaji wachezaji wenye majina makubwa.Ninachokiamini mimi;
Msimu huu top 4 hakuna sababu ya kushindwa kusajili wachezaji wa kuimarisha kikosi,matokeo yake tutashindwa kuwavutia wachezaji wazuri wanaotaka kucheza UCL msimu ujao.
Tulia.Huyu fala jina lake limekaa kama dawa za kienyeji elanga fala sana katulaza watu na viatu hii timu nayo imekua tia maji tia maji kudadeq, kuna vitu vinaboa nina hasira natamani ningekua na uwezo nishike machezaji yotw niyalambe hata makofi mawili mawili hasira zitulie
Wewe umeona tu kukosa penati hujaona kwamba ile game tulikua tunaimaliza mapema?Tulia.
Kukosa penalt ni kitu cha kawaida.
HATA TUSIPOINGIA INGIA TOP4 HAKUNA NENOUkiwa na kocha sahihi, huhitaji wachezaji wenye majina makubwa.
Wachezaji wenye vipaji kama kina Bruno wengi tu, unawapata kwa bei za mafungu.
Hakukuwa na haja ya kusajili wala kuongeza mikataba dirisha dogo.
So far, hata tusipoingia top 4, hakuna neno.
Title hopes kwa Man united ni 2023/2024.FT imeisha 1 - 1 kwasababu hatutumii vizuri nafasi tunazopata, kufungwa goli 1 siyo shida kama unaweza kufunga 3 na hicho ndiyo tunakikosa.
Mpaka hapa msimu ulipofikia sina cha kuwadai Manchester United zaidi ya top 4 kwenye PL kama ikitokea watashinda kombe lolote msimu huu kwangu itakuwa ni bonus tu. Tuna msimu mbaya sana nategemea tutaanza vizuri msimu ujao.
Kikosi kinatisha eh?

Tumeshindwa kufunga kwenye open play basi tufunge kwenye set play.Ushoga mtupu.
Nililewa nikaja kushtuka kipindi cha pili..vijamaa vinaruka ruka tu..
Nikaja kujua pia Ronaldo kakosa penalt.. wtf,..Ronaldo ndo anayefanya Fernandes aonekane choko uwanjani.
Note:nina shots kadhaa kichwani.
Huyo specialist anakunywa tu mvinyo carrington..Tumeshindwa kufunga kwenye open play basi tufunge kwenye set play.
Hivi yule set pieces specialist huwa anafanya kazi gani ?
Toka ameajiliwa hatujawahi kabisa kufunga kwenye set play au yeye hatakiwi kufukuzwa ?Huyo specialist anakunywa tu mvinyo carrington..
Ni siku nyingi sana tumefunga from set pieces..achilia mbali kujilinda hizo set pieces.