Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dalot anacheza vizuri sana, ametengeneza clear chance za kuchop 2 kwa ronaldo na bruno
 
Wakuu huko UEFA itakuwaje kama ndo tunateseka hivi kwa hawa watoto
Its not right, its not okay kwa kweli!!
 
FT imeisha 1 - 1 kwasababu hatutumii vizuri nafasi tunazopata, kufungwa goli 1 siyo shida kama unaweza kufunga 3 na hicho ndiyo tunakikosa.

Mpaka hapa msimu ulipofikia sina cha kuwadai Manchester United zaidi ya top 4 kwenye PL kama ikitokea watashinda kombe lolote msimu huu kwangu itakuwa ni bonus tu. Tuna msimu mbaya sana nategemea tutaanza vizuri msimu ujao.
 
Hawa madogo wasije kutatoa kwa mafuta!
Ukifuatilia michuano ya Carabao na FA timu kubwa huwa zinatolewa matuta na nahisi timu za lower divisions huwa zinajipanga sana kwenye matuta. Kama tukifika matuta ile penalty miss ya Ronaldo itashusha confidence ya wachezaji wetu.
 
Back
Top Bottom