The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Magwaya ni jibwa.
Wananimalizia mb hawa viande.
Kombe lolote you mean UEFAFT imeisha 1 - 1 kwasababu hatutumii vizuri nafasi tunazopata, kufungwa goli 1 siyo shida kama unaweza kufunga 3 na hicho ndiyo tunakikosa.
Mpaka hapa msimu ulipofikia sina cha kuwadai Manchester United zaidi ya top 4 kwenye PL kama ikitokea watashinda kombe lolote msimu huu kwangu itakuwa ni bonus tu. Tuna msimu mbaya sana nategemea tutaanza vizuri msimu ujao.
Ndiyo!Kombe lolote you mean UEFA
![]()
SawaMSIKAE MBALI....View attachment 2108114